Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

Yote ni dalili kuwa umekuwa mtu mzima, majukumu yanatufanya tunakuwa busy sana kiasi muda hautotoshi. Hii inatokea sana has ukiwa busy.
Ukiona hivyo ujue majuku yamekukaba ukistuka usingizini saa 9 usiku hiyo ndo imetoka
 
Kwa kuongezea,time perception inatofautiana kulingana na umri.Kadri umri unavyosonga kelekea utu uzima ndivyo unavyoona muda unakimbia.Ukiwa na umri Mdogo unaona kuwa you have all the time.
Sioni kama ni sahihi kusema kwamba kadiri umri unavyoenda. I would rather use the word relative perception.

Kwa kigezo cha umri per se, bila shaka kuna watu wenye umri mkubwa, lakini kwao ni kana kwamba muda umegandishwa kwa barafu la Antarctica -- it seems to not move at all.
 
Hii ni dalili ya kukaribia siku ya qiyama kama alivyo sema mtume Muhammad (Rehma na amani ziwe juu yake)
 
Umefikisha miaka 30+, kama umefikisha huo umri basi lazima uone miaka inakmbia
 
Ni kweli japo kitaalam hii Mimi sijui sababu ni nini. Nyakati kwa sasa zinakimbia mno! Nikichoshangaa eti kitoto Cha kaka yangu kinaenda university wakati kimezaliwa 2004. Sasa najiuliza mbona 2004 ni juzijuzi tu?
 
Na unaweza ukakuta wewe ni mimi, halafu mwenyewe wala hata haujui masikini!
 
Hii ni kweli kabisa. Mwaka 2016 kuna katoto la dadangu ndiyo kalikuwa kanaanza darasa la kwanza. Ile moment naiona kabisa. Leo yupo Form 1
 
Hiyo imewakuta wengi mno nadhani Kuna nguvu flan behind (will and Time)
 
Many special events znaifanya akili itamani kwenda kwenye future from present time ,matokeo yake ni vice versa inafanya mda uapproach past na ndio maan Kuna event za miak ya nyuma ukizikumbuka unaona ni kama zmetokea jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…