Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Aiseenaam mkuu ila mimi kumbukumbu ilonikalia vibaya ni hiyo fainali ya uefa, it's my worst nightmare [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseenaam mkuu ila mimi kumbukumbu ilonikalia vibaya ni hiyo fainali ya uefa, it's my worst nightmare [emoji85]
Ukiona hivyo ujue majuku yamekukaba ukistuka usingizini saa 9 usiku hiyo ndo imetokaYote ni dalili kuwa umekuwa mtu mzima, majukumu yanatufanya tunakuwa busy sana kiasi muda hautotoshi. Hii inatokea sana has ukiwa busy.
Wewe huwezi balance vitu, hili nalo lakupeleka kweli intellegence😂😂😂😂.Hii thread Mods walifaa waipeleke kwenye Jukwaa la Intelligence kule ndo lingepata uchambuzi mzuri
Sioni kama ni sahihi kusema kwamba kadiri umri unavyoenda. I would rather use the word relative perception.Kwa kuongezea,time perception inatofautiana kulingana na umri.Kadri umri unavyosonga kelekea utu uzima ndivyo unavyoona muda unakimbia.Ukiwa na umri Mdogo unaona kuwa you have all the time.
Hii ni dalili ya kukaribia siku ya qiyama kama alivyo sema mtume Muhammad (Rehma na amani ziwe juu yake)Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli 2015 aligombea urais akashinda then akaongoza miaka mitano, then akagombea 2020 akashinda na akaongoza miaka miwili then akafariki. Sasa kinachonishangaza mimi toka hiyo 2015 mpaka leo it sounds like juzi tu. Ile moment ya uchaguzi wa CCM na ukawa kisaikolojia kwangu hainijii kichwani kama ni moment ya miaka nane iliyopita but inasound kama ni mwaka juzi flani hivi.
Halafu Kuna moment zingine huwa zinanifikirisha personally na kuona kama nyakati zinakimbia sana tofauti na fikra zangu, kwa mfano nikiwa nasoma Sekondari msimu wa 2003/2004 timu ya Arsenal ilibeba kombe la ligi kuu Uingereza. Hii moment naikumbuka sana kwa sababu Arsenal ni timu yangu pendwa. Kitu cha ajabu kwangu kichwa changu kinashindwa ku make sense kama ile 2003/2004 mpaka leo ni miaka ishirini imepita. Sometime huwa naona kama hii dunia ina short spani, imekuwaje miaka ishirini inasound muda mfupi kiasi hicho wakati miaka ishirini iliyopita kumbe ni kama juzi tu.
Hii sijajua kwa wengine lakini mimi binafsi nikilala usiku let say masaa 7 au 8. Nikishalala usingizi na kuamka asubuhi na feel kama nimelala masaa mawili, in short usiku pia naona kama unakua mfupi sana. Halafu pia hata mchana nikienda kazini, nikipiga mishe mishe na kufika jioni kurudi nyumbani na feel kama huko job sijakaa muda mrefu sana, in short nahisi kama siku pia inakua fupi sana....... Pia kutoka jumatatu mpaka ijumaa siku zinaenda kwa spidi, yaani jumatatu inaikamata ijumaa haraka sana. Halafu pia weekend (jumamos na jumapili) inaisha haraka pia. Hata weekend inaisha then kuikamata jumatatu kwenda ijumaa nayo inaisha haraka sana.
Wakuu hivi hili jambo ni kwa nini? Hivi ni mimi tu huwa nali observe hili jambo?
Kweli kabisaYote ni dalili kuwa umekuwa mtu mzima, majukumu yanatufanya tunakuwa busy sana kiasi muda hautotoshi. Hii inatokea sana has ukiwa busy.
Elezea kidogoDalili za kuja Bwana Yesu. Muda unafupishwa ili wengi waingie Mbinguni. Muda ukiwa mrefu wengi watakosa Mbingu
Umefikisha miaka 30+, kama umefikisha huo umri basi lazima uone miaka inakmbiaSalamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli 2015 aligombea urais akashinda then akaongoza miaka mitano, then akagombea 2020 akashinda na akaongoza miaka miwili then akafariki. Sasa kinachonishangaza mimi toka hiyo 2015 mpaka leo it sounds like juzi tu. Ile moment ya uchaguzi wa CCM na ukawa kisaikolojia kwangu hainijii kichwani kama ni moment ya miaka nane iliyopita but inasound kama ni mwaka juzi flani hivi.
Halafu Kuna moment zingine huwa zinanifikirisha personally na kuona kama nyakati zinakimbia sana tofauti na fikra zangu, kwa mfano nikiwa nasoma Sekondari msimu wa 2003/2004 timu ya Arsenal ilibeba kombe la ligi kuu Uingereza. Hii moment naikumbuka sana kwa sababu Arsenal ni timu yangu pendwa. Kitu cha ajabu kwangu kichwa changu kinashindwa ku make sense kama ile 2003/2004 mpaka leo ni miaka ishirini imepita. Sometime huwa naona kama hii dunia ina short spani, imekuwaje miaka ishirini inasound muda mfupi kiasi hicho wakati miaka ishirini iliyopita kumbe ni kama juzi tu.
Hii sijajua kwa wengine lakini mimi binafsi nikilala usiku let say masaa 7 au 8. Nikishalala usingizi na kuamka asubuhi na feel kama nimelala masaa mawili, in short usiku pia naona kama unakua mfupi sana. Halafu pia hata mchana nikienda kazini, nikipiga mishe mishe na kufika jioni kurudi nyumbani na feel kama huko job sijakaa muda mrefu sana, in short nahisi kama siku pia inakua fupi sana....... Pia kutoka jumatatu mpaka ijumaa siku zinaenda kwa spidi, yaani jumatatu inaikamata ijumaa haraka sana. Halafu pia weekend (jumamos na jumapili) inaisha haraka pia. Hata weekend inaisha then kuikamata jumatatu kwenda ijumaa nayo inaisha haraka sana.
Wakuu hivi hili jambo ni kwa nini? Hivi ni mimi tu huwa nali observe hili jambo?
Ila huu mwaka umezid kwa speed,utashangaa wa 12 hii hapaHii ni kweli mi siamini kama tumeshakata mwaka nusu tayari, kesho kutwa tuu mwaka mwingine huu hapa
Mi nikahisi labda ndio siku za mwisho zinakuja
Na unaweza ukakuta wewe ni mimi, halafu mwenyewe wala hata haujui masikini!Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada.
Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine.
Hebu just imagine mtu kama Magufuli 2015 aligombea urais akashinda then akaongoza miaka mitano, then akagombea 2020 akashinda na akaongoza miaka miwili then akafariki. Sasa kinachonishangaza mimi toka hiyo 2015 mpaka leo it sounds like juzi tu. Ile moment ya uchaguzi wa CCM na ukawa kisaikolojia kwangu hainijii kichwani kama ni moment ya miaka nane iliyopita but inasound kama ni mwaka juzi flani hivi.
Halafu Kuna moment zingine huwa zinanifikirisha personally na kuona kama nyakati zinakimbia sana tofauti na fikra zangu, kwa mfano nikiwa nasoma Sekondari msimu wa 2003/2004 timu ya Arsenal ilibeba kombe la ligi kuu Uingereza. Hii moment naikumbuka sana kwa sababu Arsenal ni timu yangu pendwa. Kitu cha ajabu kwangu kichwa changu kinashindwa ku make sense kama ile 2003/2004 mpaka leo ni miaka ishirini imepita. Sometime huwa naona kama hii dunia ina short spani, imekuwaje miaka ishirini inasound muda mfupi kiasi hicho wakati miaka ishirini iliyopita kumbe ni kama juzi tu.
Hii sijajua kwa wengine lakini mimi binafsi nikilala usiku let say masaa 7 au 8. Nikishalala usingizi na kuamka asubuhi na feel kama nimelala masaa mawili, in short usiku pia naona kama unakua mfupi sana. Halafu pia hata mchana nikienda kazini, nikipiga mishe mishe na kufika jioni kurudi nyumbani na feel kama huko job sijakaa muda mrefu sana, in short nahisi kama siku pia inakua fupi sana....... Pia kutoka jumatatu mpaka ijumaa siku zinaenda kwa spidi, yaani jumatatu inaikamata ijumaa haraka sana. Halafu pia weekend (jumamos na jumapili) inaisha haraka pia. Hata weekend inaisha then kuikamata jumatatu kwenda ijumaa nayo inaisha haraka sana.
Wakuu hivi hili jambo ni kwa nini? Hivi ni mimi tu huwa nali observe hili jambo?
Hiyo imewakuta wengi mno nadhani Kuna nguvu flan behind (will and Time)Asilimia kubwa ya wanao experience hichi miaka kwenda taratibu ni wale ambao wapo under pressure na muda. Kwa mfano, wanafunzi, wanavyuo, wafungwa, n.k.
Ukiwa under pressure na muda lazima tu kuna tafsiri zitapelekwa kwenye ubongo, (wataalam wanafahamu) na kupelekea hiyo hali. Kwa mfano, ukiwa una safari unayoipenda sana, may be ndio mara ya kwanza kupanda ndege, utatamani pakuche lakini kila ukiamka utaona muda bado.
Kwa ufupi tu naona muda wa kueleza nakosa.