Hivi ni nani legend au mkongwe alie active mpaka leo humu JF?

Wakongwe tulishaondoka baada ya kizazi cha bongo flavour kuvamia hili jukwaa. Hawa watoto mchicha wali nazi topic zao za kiwaki sana, just imagine dogo anaomba ushauri hapo

"YAANI HAPA NILIPO NIMECHANGANYIKIWA, LEO MAMA AMEKATAA KUTUPIKIA WALI NYAMA.. USHAURI PLEASE, SERIOUS JAMANI NAOMBA USHAURI
 
Daah JF imevamiwa sasa iyo thread sio ata ya kusomwa na wakongwe yan very poor daah
 
Wakimalizana Pm attention n more mtawapea wapi?!
 
Wakimalizana Pm attention n more mtawapea wapi?!
Daaah sielewi asee kwann wasiwe confidential na wa siri inasikitisha sana kuanikana waziwazi hivi

Watu tunajua kuweka records zetu mbona kuna wanawake wazuri wametulia kama Nakubusu hana kero na mtu, hana drama, hatukani, ni mpole

Wao wanadhani kuanikana ndo itawapa attention ila inawashushia hadhi yao na utu wao kusema ukweli its so sad
 
Mental health, watu wanastress huko nje ili kujifurahisha ss wanajikuta wanafanya mambo ya watt
 
Menyal health, watu wanastress huko nje ili kujifurahisha ss wanajikuta wanafanya mambo ya watt
Ni kweli inabidi wale ignore zangu tu sasa hayo ma drama yao wabaki nayo wenyewe,,,,,,,
 
Nadhan Mimi ndie munipe heshima maana nimejiunga jf nkiwa na umri mdogo sana kuliko wote ..
Nimejiunga mwaka 2015 nikiwa na miaka 16 pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…