Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

Inaonekana Mohammed alikua anapewa special favors na Allah kama his favourite child mpaka bi Aisha aliwahi kulalamika . Mohammed could get away with anything kibaya na verse itashuka kumpa uhalali[emoji3][emoji16].
,[emoji23][emoji23][emoji23]wenyewe ukiwauliza Wala hawana shida na Hilo,wanaamini alikuwa Bora sana kwa Allah[emoji23][emoji23].

Wakati huku kwenye bible Mungu angemtoa nishai kipenzi chake live live,kama Mussa alivyoikosa nchi ya ahadi kisa kumkasirikia Mungu.
 
Umeambiwa Zanzibar kuna huo mtindo kwani kakwambia ni Waislam...Inawezekana imekatazwa lakini wao wanaoana ndugu...Vichwa vigumu kuelewa nyie
 
Sijabisha na wala sina tamaa ya kuzipinga kwani siwezi ila natamani kujua mantiki iliyopo as dunia ina watu weeengi sana tofautitofauti na mwenyezi Mungu alituumba tofautitofauti ili tufahamiane.
Unataka mantiki gani tena?
Kwani hao ambao unaona ni sahihi kuwaoa, unawaoa kwa mantiki gani?
 

Amwitaye kafiri mwafrika mwezake huyo ndio kafiri haswa,huwezi kuja kutetea mila za waarabu kisa tu umeahidiwa mabikra ya nadharia huo ni upumbafu
 
Ningetamani mabingwa wafanye tafiti ijulikane ni makabila au jamii zipi nchini zinaongoza kwa mangnjwa ya aina hiyo na sababu ni nini.

Watu wanakiuka miiko ya asili halafu wanakuja kuleta shida baadaye kwao na kwa taifa kwa ujinga wao wenyewe! Haingii akilini unalala kitanda kimoja na mtoto wa aunt or uncle sembuse kuingiliana eti ndoa!

Taasisi kama NHIF wanatakiwa kuwa na maslahi makubwa kwenye hili ikiwa ni pamoja na ku-fund research za aina hii.
 
Wanaoruhusiwa kuoana ni binamu mkuu, mfano kuoa mtoto wa shangazi......huyo anakuwa si ndugu yako anao ukoo wake mwingine. Ila kitaalamu aina hii ya mahusiano haishauriwi ili kukwepa matatizo ya kurithi kama sickle cell nk.
... in the family tree, ukoo unaanzia wapi? I mean, kizazi cha ngapi?
 
Umesahau hata kwenye biblia nako imeandikwa Yakobo alioa mtoto wa mjomba yake?
Pre 10 Commandments era kulikuwa na utaratibu wake. Post that era utaratibu ukawa tofauti ambao nao ulikuja kusukwa sawasawa na Injili. Mara anakuja mwingine in the recent past anaturudisha pre-era!
 
Lete andiko kutoka kwenye biblia linalo sema ni kosa kumuoa mtoto wa shangazi yako mama ndogo baba mdogo
Kwani hiyo inahitaji andiko. Utashi wa kibinadamu tu " common sense" unatosha kukumbusha kwamba hao ni ndugu zako wa damu, huwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
 
... in the family tree, ukoo unaanzia wapi? I mean, kizazi cha ngapi?
Mtoto wa shangazi baba yake ni ukoo tofauti, hapo ni kwamba shangazi pia anakuwa mama mkwe......hapo utaona ushangazi utabaki kuwa na nguvu zaidi hivyo mkioana binamu kushtakiana kunakuwa nje nje kila mtakapozinguana.......hapo mama mkwe bado atatumia rungu la ushangazi kukupa vitasa😂​
 
Inasikitisha sana, ni tamaa tu za binadamu...
 
Binadamu wote ni ndugu,yoyote utakaye muoa ni ndugu yako kiukoo.Kila unayemuona ni uzao wa Adam,ndio maana tukaitwa Bin Adam(watoto wa Adam).
Kama sote ndugu Kachumbie msomali sasa au muhindi au mwaarab uone watakavyokukimbiza na mapanga na masime na mafyekeo 😀👍🏾
 
Uchoyo wa wahindi, waarabu na wenyewe asili hiyo kusambaza utajiri nje ya familia.
Wale ni wabaguzi wa rangi tu sio uchoyo wa mali... kwani ni lazima ukioa mwanamke wa kiarab au kihindi au mwenye asili ya kiarab au kihindi uwe kwenye part ya mali na biashara zao?!
 
soma Bibilia wewe
 
Hili
HIi sio swala la dini bali mila na desturi
 
Bro hata wamarekani baadhi hasa Mormons na wale walioshika ukristo hasa wanaoana cousin. State kama Alabama ni maarufu Kwa hivyo. Hata uchina na sehemu ya ulaya wanaoana ndugu mpaka Israel.
 
Kumbe mwalabu ndio alikuwa anauza watu?

Na mnunuzi alikuwa nani mzungu?
 
Sisi ni wapogoro huu ni uongo mkubwa

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
ndugu wakiona wanazaa watoto dhaifu ndo manake wazanzbar wanakula urojo badala ya ugali,,na hata kuongea kwao wanaongea tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…