Hivi ni sawa kuzaa watoto kwa matarajio ya watakuja kukusaidia baadaye?

Baadhi ya wazazi, hasa wale wa ukanda wa pwani nilikokulia mimi, utashangaa mzazi anazaa watoto wengi ambao wakati mwingine unaona kabisa uwezo wa kuwalea hana

Ukimuuliza utasikia anasema:

Tajiri na mali zake, maskini na wanawe
😃😃🙌
 
Ngazi ya tatu bado yanki, huwezi toa laana. Hiyo ngazi bado unakuwa na wenge hatari.
Life begins @ 40. 😊
Hiyo ya 3 yenyewe bado hiyo ya 4 sio leo wala kesho
hakuna yanki nipo kama mshangazi🤣🤣
 
Mtajijua miye sina watoto wengi ila nimewapeleka shule vizuri tuu, na Mungu akipenda watanisaidia wakiwa nauwezo.

Nimeona kwa wazazi wangu wapo 8 na kila mwezi walikuwa wanatuma pesa kwa bibi na babu kwa ajili ya matumizi yao.

Miye kwangu ni wajibu kuwasaidia wazazi wangu, nijue kala nini, kuvaa, na bili zake

#Na note down sintabadilika ng'ooooooooooooo#
 
Na watoto kama hazina, kinga au mafao uzeeni ndipo alipokwama maskini anaezaa watoto wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…