Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hawa wapo wengi sana, wanaudhi sana.Then mtu anazaa watoto wengi anaanza kuomba msaada asaidiwe kusomesha akikataliwa anaona kama kanyimwa haki yake ya msingi
Kuzaa wanazaa wao, mzigo wanawawekea wengine ambao na wao wana mizigo yao tayari.
Ukikataa kwa sababu na wewe una mipango yako, wanakuona mbahili.