Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Alimwachia nchi muislamu mwinyi unasemaje alikua mdini, na alimchagua ahmed salim kama balozi mdogo hata sasa hakuna mtu aliyechaguliwa kuwa balozi kama ahmed salim akiwa na umri mdogoAcha ujinga,kwa nini aliivunja eamws iliyojikita kujenga taasisi za elimu na afya!?
acha ujinga we shaitwaani mfuasi wa dini ya myaazi mungu, unadhani ni nani ambaye hakuwa mdini ? Huoni wadini wenzako wakiacha alama ya udini pindi muhula wao unapomalizika?Sidhan kama jambo hilo limewahi kutokea yule kafir alikua mdin sana asiejali maslah ya wenzake
Na unajuwa ndio sababu Tanzania ikawa kama ilivyo leo, na wala siyo kama ilivyo Somalia au Nigeria? Inawezekana kabisa usielewe ninachokueleza, au akili yako ikawa haifunguki kuona ukweli huo.Najua mnakerwa lakini huo ndio ukweli ,alianza na wale wapigania uhuru kina Dossa Aziz,Abdulwaheed Sykes,Sheikh Hassan bin Amir,Bibi Titi Mohammed na wengine hawa wengine alifunga,wengine alikata mawasiliano nao wengine aliwasingizia kuwa sio raia wa Tanganyika.
Alibaki na wachache wale ambao kazi ni kuitikia tu "ndiyo mzee" kama Rashid Kawawa.
Sibishani na mtu anayekunywa maji ya kisima tangu 1961Mwongo. Yataje tuyajadili. Unapokosa hoja unabaki na hizi dhana za kuimbishwa tu kama kasuku.
Naelewa,Leo hii Waislamu wanaonekana ni raia daraja la pili na wasiostahili kupata uongozi na ikitokea mmoja kapata uongozi basi atasakamwa na kutukanwa hadi akome.Na unajuwa ndio sababu Tanzania ikawa kama ilivyo leo, na wala siyo kama ilivyo Somalia au Nigeria? Inawezekana kabisa usielewe ninachokueleza, au akili yako ikawa haifunguki kuona ukweli huo.
Mwanzilishi wa Udini Tanzania ni Rais Mwinyi.Alikuwa mwanzilishi wa udini.
"Mungu" wenu NyerereMwanzilishi wa Udini Tanzania ni Rais Mwinyi.
Unaona ulivyo mjinga!Sibishani na mtu anayekunywa maji ya kisima tangu 1961
Miwazo ya aina yako haya huwa nawaachia wapumbavu wanaotafuta viongozi kwa kuangalia dini zao na si kwa kuangalia uwezo wao bila kujali dini zao.Naelewa,Leo hii Waislamu wanaonekana ni raia daraja la pili na wasiostahili kupata uongozi na ikitokea mmoja kapata uongozi basi atasakamwa na kutukanwa hadi akome.
Hata aina ya uongozi wa Jiwe angekuwa muislamu kuanzia maaskofu hadi wanaharakati uchwara wote ingekuwa kelele tu.
Wewe kweli punguwani unaona sifa kunywa maji ya kisima na kuishi sehemu isiyopimwa,ccm inafurahi sana kuwa na mapunguwani wengi kama weweUnaona ulivyo mjinga!
Hujui kuwa maji ya kisima ni bora sana kuliko hayo ya bomba zenye tope?
Hii inaonyesha uduni mkubwa sana ulio nao kichwani mwako.
Kwa nini usiwaone waTanzania wote kwa u-Tanzania wao kabla ya maswala hayo mengine ya kibaguzi?
Ujinga ni mzigo sana. Hujui maji ya kisima yalivyo mazuri, au ni picha ipi ya visima uliyo nayo kichwani mwako? Yale maji taka yaliyosimama kwenye madimbwi ndiyo unaita visima?Wewe kweli punguwani unaona sifa kunywa maji ya kisima na kuishi sehemu isiyopimwa,ccm inafurahi sana kuwa na mapunguwani wengi kama wewe
Nyerere ni kisiki cha mpingo si hapa tu Tanzania bali Bara lote la Africa na mabara mengine.Nyerere ni namba nyingine hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza mlalamikia Nyerere."Mungu" wenu Nyerere
Nyerere alikuwa intellectual.
Ninyi msipopigana vita huwa hamjisikii ndiyo maana mnamwona Nyerere kama adui kwenu kwani aliwafungia mirija ya ugaidi.Najua mnakerwa lakini huo ndio ukweli ,alianza na wale wapigania uhuru kina Dossa Aziz,Abdulwaheed Sykes,Sheikh Hassan bin Amir,Bibi Titi Mohammed na wengine hawa wengine alifunga,wengine alikata mawasiliano nao wengine aliwasingizia kuwa sio raia wa Tanganyika.
Alibaki na wachache wale ambao kazi ni kuitikia tu "ndiyo mzee" kama Rashid Kawawa.
Najua mnakerwa lakini huo ndio ukweli ,alianza na wale wapigania uhuru kina Dossa Aziz,Abdulwaheed Sykes,Sheikh Hassan bin Amir,Bibi Titi Mohammed na wengine hawa wengine alifunga,wengine alikata mawasiliano nao wengine aliwasingizia kuwa sio raia wa Tanganyika.
Alibaki na wachache wale ambao kazi ni kuitikia tu "ndiyo mzee" kama Rashid Kawawa.
Nenda kapimwe alili Mirembe kama unadhani Magufuli alikuwa na akili yeyote. Magufuli alikuwa tabular rasaUsimfananishe magufuli na vitu vya kijinga! Nyerere alikua anamtumikia bwana wake papa huko vatican
Hii alone yule mujahidina Mohamed Said . Uone atakavyo ng'aka..sidhani kama ni sahihi kusema Mwalimu Nyerere alikuwa na ugomvi na Abdulwaheed Sykes.
..Mwalimu angekuwa na ugomvi na kina Sykes basi asingemteua Abbas Sykes kuwa Gavana wa kwanza jimbo la Mashariki ambalo lilihusisha jiji la Dar Es Salaam.
..Baada ya hapo Mwalimu alimteua Abbas Sykes ktk nafasi mbalimbali za ubalozi ikiwemo ubalozi wa Canada, France, na Italy.
..Vilevile mdogo wake Dosa Aziz anaitwa Hamza Aziz alipata kuwa Mkuu wa jeshi la Polisi IGP. Kungekuwa na ugomvi kati ya Dosa Aziz na Mwalimu Nyerere, Hamza Aziz angeaminiwa ktk nafasi nzito kama IGP?
..Kuhusu uwepo wa wapigania uhuru waliosahaulika hiyo ni hoja inayosimama na wako wengi ambao hawajapata bahati ya kuwa na vijana wao wa kuwaandikia vitabu.
..Pia kuna watu walioteswa kwelikweli na utawala wa Mwalimu Nyerere, watu kama Christopher Kasanga Tumbo, James Mapalala, Bibi Titi Mohamed, na wengine.
Waliompinga hujui kilichowapata? Nenda zako zezeta mkubwa.Miwazo ya aina yako haya huwa nawaachia wapumbavu wanaotafuta viongozi kwa kuangalia dini zao na si kwa kuangalia uwezo wao bila kujali dini zao.
Hivi katika akili zako bado unaona uongozi wa nchi hii unahitaji kuingizwa dini?
Ndiyo maana kuchwa nzima mnavimba misuri kutetea upumbavu wa namna hiyo
Hivi hamuwezi kuwatazama waTanzania wote kwa u-Tanzania wao kwanza kabla ya hayo maswala mengie yote?
Umezungumzia wakati wa Magufuli, ulitaka hao wenye dini yao wafanye lipi la ziada? Hukumbuki kitu chochote walichomkatalia Magufuli, au kwa vile akili yako imejifunga ndani ya dini, ambayo hata inawezekana siyo mfuasi wake mzuri?
Haya, tueleze, wewe katika dini yako hiyo, ulifanya jambo gani kumpinga Magufuli, na hao wenye dini nyingine hawakukusikiliza kwa vile tu wewe ni mtu wa dini?.
Ujuha ni huo wa kumteyea kiongozi hata kama hafai, kwa sababu tu ya dini yake.