Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Wako humu hao "baadhi ya wanaume"?
 
Joannah mambo vp! Hope uko powa......baadae ukipata mda naomba nichukulie hela yangu kwa kijumbe jioni ntaipitia kwako maana ntachelewa kutoka site.
Yaaap hii ndio mwanaume rijali anatakiwa kuandika...Stori zitaanzia hapo kwenye kijumbe Sasa!
Nitakujibu..
Poa mpaji,zamu yako kupokea lini tukale mihogo coco?
Convo hapo tayari
 
Yaaap hii ndio mwanaume rijali anatakiwa kuandika...Stori zitaanzia hapo kwenye kijumbe Sasa!
Nitakujibu..
Poa mpaji,zamu yako kupokea lini tukale mihogo coco?
Convo hapo tayari
Hapo kwa kijumbe ndo point ilipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unabaki unamshangaa..!!
Kuna mmoja nilikuwa nachat utasema ana kithethe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niabie mdima?
Nikamjibu; Naoba peza
Ilibidi acheke mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shenzi wewe.
 
Mi mwanaume mwenzangu akinitumia mambo,Huwa simjibu ila akiandika mambo vipi??? Ndo najibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…