Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

😂😂😂 wametubania uzi wetu watu wabaya jamani.
Nilifanyia kazi ushauri wa madame..natakia tu kuweka mawazo yangu kwenye shughuli..ilienda vzr angalau😂😂
Roho imeniuma mimi 🤣🤣🤣
Watu wa jf wana nongwa sana.!!
Wenzao tulishapata pa kupumzikia baada ya miangaiko, wenyewe hao chap wameufunga
 
That's pure maturity, hakuna haja ya kutuma meseji juu ya meseji ambayo haijajibiwa.
 
Kwani ukimwambia unataka atakujibu Nini?
 
Yaaap hii ndio mwanaume rijali anatakiwa kuandika...Stori zitaanzia hapo kwenye kijumbe Sasa!
Nitakujibu..
Poa mpaji,zamu yako kupokea lini tukale mihogo coco?
Convo hapo tayari
Na mm ntakujibu mihogo siku nyngn... unaonaje twende tukale 🐷🐷🐷!!!


Ila mm na mtazamo tofaut kidogo🤔🤔mm naona tatizo sio hao "team niambie" mi naona shida ipo kwako!

Wakati tunaanza kutumia simu tulikua tunafowardiana sms zngn za mambo ya Imani zingine ngono na mengn baadae kufowadiana sms ikawa kama ushamba tukaacha

Tukawa tunachat tu sms 500+ Kwa siku...kunaweza kusiwe na lengo maalum na tukachat usiku kucha na enyw tukaacha

Ikawa kuwasiliana Kwa kujuliana hali kawaida lkn baada ya kila mtu kupigwa na maisha kivyake kubadili kampana utafutaji mgumu na aina ya utafutaji na venyewe tumeacha

Saiv tunawasiliana Kwa malengo maalum huna la kusema kafie kuzimu yaan mm nireply "mpaji mungu vp" helo" "hi"🤔🤔 Sasa inakuaje ww mpaka Leo upo kwenye error ya niambie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…