Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Yani me sipendi mtu wa kunitext kila mda, sijui umekula, unafanya nini, uko na nani khaa... Me nitakupigia mara moja asubuhi na usiku kabla ya kulala na kama kuna dharura. Siku nyingine naassume tu umeamka salama napita hivi kimyakimya
Watu wanaotext aina hizo za txt wengi hawana kazi za kufanya hasa muda wa mchana wapo wapo tu kwa Shemeji.

Mtu aliyebusy na mitikas ya mjini hapa hana huo muda wa kuuliza umekula? Umekunya? Unafanya nini?.

Mie mwenyew napenda huo utaratib ukinichek asubuh tukutane saa nne muda wa kulala, unakula gd9t kavu kesho asubuh unasalimiwa kama bado upo hai unapumua.. maisha yanasonga.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”©
 
Roho imeniuma mimi πŸ₯ΊπŸ₯Ί
Wenzao tulikuwa tunakula nondo kutoka kwa The great queen mother Madame B
Jana kanifurahisha sana.!! Hebu njoo useme neno Madame, sis Joannah nimepata dada mwingine mwenzio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eeeeh sawa,Mimi nitampenda tu kama familia yangu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Huyo humpendi ila unataka ela tu kwa mtu unayempenda hata akuulze ktu gan utamjibu fresh tu yan no makasiriko
 
Wenyewe ndo wanaita kucare... Ni huo naitaga usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…