technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?