Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Mchepuko wake huo
 
Lao moja na liliisha julikana.
Nasi tuungane kuwakataa ingawa tunanjaa.

Wakatoliki wamekataa kutumika, wao wameamua kuwajengea uwezo kina mwamposa kushindana na wakatoliki.

Tunafahamu hili tutaona nini kitafuata baada ya mwamposa, labda Zumaridi atafuata.
Huo mbali na ukweli. Pongezi kwako.
 
Du hujui agenda yao mpaka leo,
Agenda ni kuupaisha uchumi wa taifa hili kuzidi ule wa marekani na ulaya, upo hapo boss wangu
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Huwezi kujua, labda analazimishwa Lakini kuna kanuni moja ya msingi hapa, ikiwa wewe mwenyewe ulikuwa mchafu, unatapata wapi mamlaka ya kukemea uovu? Kabla ya kuonesha kidole kwa wengine, ni lazima ukubali aidha kukaa kimya au ukubali kuumbuliwa kwa maisha yako yote.
 
Hawatofanikiwa katika mipango yao ya siri. "KWA JINA LA YESU KRISTO, BWANA" . Nimeyasema haya nikiwa kanisani kwenye maombi.

watu wanayategemea majini yawavushe!?! na wakati ni wazi kuwa majini ni masheitwani kamili
Kwanini wasifanikiwe kwa jina la Yesu wakati mtume bulldozer Mwamposa anawaombea?
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Kikwete analinda maslahi yake kwa Samia ikiwemo watoto wake na mke kuendelea kuvuna mamilioni kupitia ubunge na uwaziri...
 
Huo mbali na ukweli. Pongezi kwako.
Tuliona strategy za USA kule Syria, walienda kuwapiga ISIS lakini baadaye wakawa wajengea uwezo na makundi mengine wakaanza kuishambulia serikali ya Asaad.

Na Assad alipokimbilia Russia umeona Aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda na aliyekuwa the most wanted kwenye FBI list sasa ndiye USA na EU wana mpa support kuunda serikali kwa kumsaidia kuunganusha makundi yote nchini Syria ili kuunda serikali moja.

Huyu Mwamposa angekuwa Gwajima, lakini nadhani Gwajiboy alikataa au alijitoa akili au mfumo ulimkataa, wakamtafuta mbadala wake.
Sasa Mwamposa na Malasusa wataunganisha Evengelicals kufikia lengo.
 
Sioni shida yoyote, kwanza Mzee Jakaya ndie alimtambulisha Madam Prezidaa kwenye ulimwengu wa siasa, acha aendelee kumlinda dhidi ya mamluki wasiomtakia kheir Rais Mwanamke pekee barani Africa.
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Wenye nchi.
 
Matusi hayo.! Aliyokuwa anamfanyia Samia kabla ya kuwa rais, unadhani angeweza kumfanyia dadake?

Ni kosa kubwa kwa kiongozi kumpa uongozi mpenzi wako kama malipo kwa penzi akupalo. Sasa tumefika huku!
Mmh mkuu walikuwa wanakulana kweli sidhani
No reforms no election ⚒️ 💯
October tutakuwepo 😎
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Msiompenda Kikwete mnateseka sana masikini.
 
Me nadhan Kikwete hana shida bali wewe nd una shida.
Au labda ni wivu.
 
Usiishi kwa kukalili maisha. Life is dynamic. Not necessarily to mimic everything and act the same like how others have done. Be you
 
Back
Top Bottom