Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,341
- 3,367
Tunamulaumu sana CDF Mabeyo kutuletea janga hili.Mfumo wa uendeshaji wa taifa letu ni batili, hivi mtu kama Samia Suluhu Hassan anakuwaje Rais? Huyu hawezi pita kama kungekua na chujio imara la wataalam linalo chambua watu wa kugombea kiti cha U-Rais wa nchi.