Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Ni mtu na X wake
 
Umesema kama Mke,acha utani Mangi kwamba hauna macho au mpaka ushuhudie live
 
Kuna moja zaidi ya hayo yote uliyo orodhesha, lakini amekuwa fundi sana kulificha miaka yote hii lisijulikane, lakini sasa kaliweka wazi zaidi.
Kikwete yuo kwenye GENGE hatari sana ndani ya nchi hii.
Wasiojulikana?
 
Acha kujadili viongozi huo ni utovu wa nidhamu uliovuka mipaka!
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Biashara za familia zao IKULU.

Kina Mkapa hawapo, kina Warioba wakiongea hawatakiwi

Shamba la bibi
 
Tuliona strategy za USA kule Syria, walienda kuwapiga ISIS lakini baadaye wakawa wajengea uwezo na makundi mengine wakaanza kuishambulia serikali ya Asaad.

Na Assad alipokimbilia Russia umeona Aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda na aliyekuwa the most wanted kwenye FBI list sasa ndiye USA na EU wana mpa support kuunda serikali kwa kumsaidia kuunganusha makundi yote nchini Syria ili kuunda serikali moja.

Huyu Mwamposa angekuwa Gwajima, lakini nadhani Gwajiboy alikataa au alijitoa akili au mfumo ulimkataa, wakamtafuta mbadala wake.
Sasa Mwamposa na Malasusa wataunganisha Evengelicals kufikia lengo.
Hawawezi kutoboa wote wataanguka

Kikwete, Samia, makasusa na mwamposa wote matapeli tu!!
 
Mke wa kikwete anakula Kodi zenu,mke wa kikwete anapokea mafao bila kazi yoyote Kwa nchi,wakati wa joni magufuli kikwete na genge lake walikaa kimya ,baada ya magufuli kuondoka kikwete na rostam wametinga Ikulu Kwa biashara zao
 
Nakurudisha kwenye "nature" kupata jibu la swali lako.
Mwanamke ni kiumbe asiejiamini, ni kiumbe ambaye hawezi tenda bila kupata ushauri wa "kiume" bila kujali ana madaraka au yupo sahihi kiasi gani!

Mwanamke anaweza kuogopa kulala peke yake usiku, lakini akaomba kwa jirani katoto kadogo ka miaka miwili, akalala nako na akaona yupo salama, salmini.

Kikwete anaongoza awamu mbili, yake na ya huyu mama. Kipindi JPM yupo JK aliufyata. Wote mnajua.

I did not create the rules, nature did.
Ndo maana nyani akifukuzwa na mwanamke haondoki ila akifukuzwa mtoto wa jinsia ya kiume hata kama ni mtoto wa 6 yrs anakimbia
 
Kikwete anaongoza awamu mbili, yake na ya huyu mama. Kipindi JPM yupo JK aliufyata. Wote mnajua.

I did not create the rules, nature did.
Atleast alionja joto la jiwe, saizi tumuache ale bata.
 
Mimi ningekuwa mama Salma nisingekubali ukaribu ule wa Samia na mume wake. Ila haya mambo ya kupenda chini ndo yalimkasirishaga Salma mpaka akaenda kukitombesha Kwa Nguza viking Mzee wa Sea wa mivalo
 
Yaalibike mara ngapi, wakati yamesharibika kitambo

Matukio kibao yametokea ila haujasikia akikemea Wala kushauri na wakati yupo karibu sana na Samia
Unataka mpaka aitishe press kama mnywa gongo Warioba ndio ujue kama anashauri na kukosoa?
Kikwete amelelewa amaleleka, amefunzwa kwao akafunzika, amepikwa na Chama chake akapikika.
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Ndege wenye mbawa za rangi aina moja huruka pamoja.
 
Embu tuacheni choyo
Mzee Mkapa na Magufuli walikuwa chanda na Pete.
Ilieleweka wazi kabisa kwamba Mkapa ndie mentor wa magufuli na kila mtu alikubali.

Sasa kwa nini kipindi hiki, iwe nongwa?
 
Inaonekana kuna watu walikua na nongwa, jambo limewakaba kifuani,, hatimae sasa jukwaa limepatikana lakusemea na ku push ajenda zao.
 
Back
Top Bottom