Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

294869f8-3610-4462-be1c-49f4553dfdc5.jpeg
 
Wakati WA utawala hayati magufuli Kikwete alikua Raisi mstaafu kwa Sasa hali imebadilika harufu ya kijasusi imenusa Kikwete anahusika katika maamuzi ya Nchi

Mtazamo tu

Screenshot_20250723-211447.jpg
 
alitakiwa kuwekwa kama mbowe bila hivyo mtaweka kaburi CCM
 
Fikra huru kwa njia ya swali, hivi kuna Rais yupi mstaafu wa JMT aliye hai apart from 'JK,'? Hakuna. So aliopo madarakani anachukua uzoefu kwake, kwa namna moja au nyingine.
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Kuna watu hawa kutaka Samia awe raisi.

Kikwete na Mkuu wamajeshi ndio walio simama kusema katiba ifuatwe na Raisi Ni Samia.
 
Kwamba Rais Samia hakuchaguliwa bali kwa mujibu wa katiba ikabidi kama kukaimu urais,
Sasa baada ya kumaliza kipindi cha JPM iwapo Samia anataka kuwa Rais rasmi anapaswa kufuata utaratibu kwa mujibu na sio kilichofanyika kana Kwamba aliwahi kuchaguliwa na wananchi hapo awali, ingawa hata kama angekuwa alishachaguliwa na wananchi hapo awali bado inategemea iwapo kama baada ya kufanya kazi kama wananchi wana ridhika na kuendelea kumwamini au la, kwa hiyo swala la kuwepo wagombea kwa mchujo haliepukiki kwa namna yoyote ile.
 
Binafsi mambo ya nchi kiuendeshaji yakiharibika nitalia na mzee KIKWETE kwakuwa ndiye mzee pekee tuliyebakia nae mwenyeuzoefu wa kuendesha nchi.

Halafu nitamshangaa sana endapo atakaa pembeni kusubiri mambo yaharibike ndio ajitokeze.

Naongelea uendeshaji wa nchi.




MAGUFULI4LIFE.

Baada ya ile kamati ya marais wastaafu wengi kufa na kubaki mmoja si Sawa ku presume responsibilities.

Kamati haiwezi kuwa na akidi ya mtu mmoja.

Don’t presume responsibilities
 
Back
Top Bottom