Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Rais na Boss wake!!
 
Attachments

  • 20250705_174532.jpg
    20250705_174532.jpg
    164.8 KB · Views: 21
Binafsi mambo ya nchi kiuendeshaji yakiharibika nitalia na mzee KIKWETE kwakuwa ndiye mzee pekee tuliyebakia nae mwenyeuzoefu wa kuendesha nchi.

Halafu nitamshangaa sana endapo atakaa pembeni kusubiri mambo yaharibike ndio ajitokeze.

Naongelea uendeshaji wa nchi.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mfumo wa uendeshaji wa taifa letu ni batili, hivi mtu kama Samia Suluhu Hassan anakuwaje Rais? Huyu hawezi pita kama kungekua na chujio imara la wataalam linalo chambua watu wa kugombea kiti cha U-Rais wa nchi.
Umenena ukweli mtupu mkuu
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Wewe ulitaka je? Kwamba wawe maadui kama Lissu na Mbowe?
 
Eti nasikia ndo TANZANIA mwenyewe uyo
onhooo.....chezea Nini!?
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
We una akili gani cjui .upinzan usifanye Kila kitu uone ni makosa
Asa ubaya ukwap rais mstaafu kua na mahusiano mazur na rais wa Sasa
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
Mmm
 
Inajulikana muda mrefu tu kuwa mna ajenda ya Siri na jk......hivyo hata iweje mtasema tu mnalolijisikia. Uzuri ni kwamba Kuna Mungu anayeangalia yote
 
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?

View: https://web.facebook.com/reel/1798308471116745
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Mzee kagoma kustaafu

Yani kama vile anajionyesha kua yeye ndo anatawala na anapenda ionekane hivyo

Hata like la kumptisha Samia kabla na kinyume cha katiba ya Chama yeye ndo Master plan

Kawageuka wazee wenzake akina Kinana ,makamba kama alivyomgeuka Lowasa
 
Yaalibike mara ngapi, wakati yamesharibika kitambo

Matukio kibao yametokea ila haujasikia akikemea Wala kushauri na wakati yupo karibu sana na Samia
 
Back
Top Bottom