Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki

Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki

Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?

Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale

Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu

Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...

Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro

Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu

Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?

Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete

Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?

What's wrong with this man?
 
Alijificha sasa katokeza hadharani mambo si mambo
 
Nakurudisha kwenye "nature" kupata jibu la swali lako.
Mwanamke ni kiumbe asiejiamini, ni kiumbe ambaye hawezi tenda bila kupata ushauri wa "kiume" bila kujali ana madaraka au yupo sahihi kiasi gani!

Mwanamke anaweza kuogopa kulala peke yake usiku, lakini akaomba kwa jirani katoto kadogo ka miaka miwili, akalala nako na akaona yupo salama, salmini.

Kikwete anaongoza awamu mbili, yake na ya huyu mama. Kipindi JPM yupo JK aliufyata. Wote mnajua.

I did not create the rules, nature did.
 
Watakwama tu, na wakifosi Uchaguzi bila Reforms hakuna nchi Ulaya na US wataitambua Serikali yao.

Mwachie Lissu, Fanya Reforms then tuingie mzigoni ili wananchi waamue wenyewe who is who.
 
Wapiga dili
 
Lao moja na liliisha julikana.
Nasi tuungane kuwakataa ingawa tunanjaa.

Wakatoliki wamekataa kutumika, wao wameamua kuwajengea uwezo kina mwamposa kushindana na wakatoliki.

Tunafahamu hili tutaona nini kitafuata baada ya mwamposa, labda Zumaridi atafuata.
 
This man is evil..! Trust it, kuna kitu anapigania si bure.
 
Hawatofanikiwa katika mipango yao ya siri. "KWA JINA LA YESU KRISTO, BWANA" . Nimeyasema haya nikiwa kanisani kwenye maombi.

watu wanayategemea majini yawavushe!?! na wakati ni wazi kuwa majini ni masheitwani kamili
 

View: https://www.instagram.com/p/DLuksozKMIR/?igsh=MXZqZ3hkOWl5bnJpMg==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…