Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Mfumo wa uendeshaji wa taifa letu ni batili, hivi mtu kama Samia Suluhu Hassan anakuwaje Rais? Huyu hawezi pita kama kungekua na chujio imara la wataalam linalo chambua watu wa kugombea kiti cha U-Rais wa nchi.
Tunamulaumu sana CDF Mabeyo kutuletea janga hili.
 
Sasa kwanini hajaenda na mwandani/ mwenza wake?
 
Kuingiza mapenzi kwenye uongozi au kazini huwa kuna matokeo mabaya. Kinachoweza kutokea, anapewa uongozi mwingine lakini mwenye maamuzi ni mpenzi wake
 
Watakwama tu, na wakifosi Uchaguzi bila Reforms hakuna nchi Ulaya na US wataitambua Serikali yao.

Mwachie Lissu, Fanya Reforms then tuingie mzigoni ili wananchi waamue wenyewe who is who.
Umekaa unasubiri ulaya na marekani wakutatulie matatizo yako ,bure kabisa
 
Hi mie najiuliza hakuna watu wazima wa kumuambia we Kikwete pumzika kwa Mungu unaka,I ya kujibu
 
Agenda yake ni kumfundisha ni vipi asimame kama Rais aache kuchekacheka na wahaini
 
Watakwama tu, na wakifosi Uchaguzi bila Reforms hakuna nchi Ulaya na US wataitambua Serikali yao.

Mwachie Lissu, Fanya Reforms then tuingie mzigoni ili wananchi waamue wenyewe who is who.
Lissu haichw mpk uchaguz uishe na kama hurudhiki hamia huko ulikotaja ukafundushwe ushoga sijui ukaendeleze ww unalipa kodi na ndio serikali in move on ww unangangania ulaya us sijui ndo wanakuletea pesa ya sabun kwa baba yko
 
Nina bosi wangu.
 
Wewe una chukua nusu ngombe na Mimi kachukua nusu ngombe, Mkoa na Nyama za Ndani tunaweza waachia watu wengine kadiri ya upendo wetu.
 
Wewe unaumia nini JK akiwa karibu na Mama?
Mbona kuna watu mnajiletea stress za bure tu!
 
Ni dalali wa mali za umma
 
Kheee
 
Huyu ni rais aliyeshindwa kwenye utawala wake. Madudu aliyofanya kwa miaka 10 yalianikwa ndani ya siku 60 kama ifuatavyo:
1. Maelfu ya makonteina yalikamatwa bila kulipiwa ushuru. Mengine yalikamatwa nyumbani kwa watu.
2. Miter ya mafuta yanayoagizwa ilikuwa imeshaharibiwa na ushuru unalipwa kidogo sana.
Anawashwa sana anataka aendelee kuharibu nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…