Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

Wakati WA utawala hayati magufuli Kikwete alikua Raisi mstaafu kwa Sasa hali imebadilika harufu ya kijasusi imenusa Kikwete anahusika katika maamuzi ya Nchi

Mtazamo tu

 
alitakiwa kuwekwa kama mbowe bila hivyo mtaweka kaburi CCM
 
Fikra huru kwa njia ya swali, hivi kuna Rais yupi mstaafu wa JMT aliye hai apart from 'JK,'? Hakuna. So aliopo madarakani anachukua uzoefu kwake, kwa namna moja au nyingine.
 
Kuna watu hawa kutaka Samia awe raisi.

Kikwete na Mkuu wamajeshi ndio walio simama kusema katiba ifuatwe na Raisi Ni Samia.
 
Kwamba Rais Samia hakuchaguliwa bali kwa mujibu wa katiba ikabidi kama kukaimu urais,
Sasa baada ya kumaliza kipindi cha JPM iwapo Samia anataka kuwa Rais rasmi anapaswa kufuata utaratibu kwa mujibu na sio kilichofanyika kana Kwamba aliwahi kuchaguliwa na wananchi hapo awali, ingawa hata kama angekuwa alishachaguliwa na wananchi hapo awali bado inategemea iwapo kama baada ya kufanya kazi kama wananchi wana ridhika na kuendelea kumwamini au la, kwa hiyo swala la kuwepo wagombea kwa mchujo haliepukiki kwa namna yoyote ile.
 

Baada ya ile kamati ya marais wastaafu wengi kufa na kubaki mmoja si Sawa ku presume responsibilities.

Kamati haiwezi kuwa na akidi ya mtu mmoja.

Don’t presume responsibilities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…