Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Wewe kwenye kumbi za starehe umefuata nini!!!? Si ungeenda kanisani au msikitikini!!? Tutolee uchuro wako
 
Tunapoibebesha serikali kila jambo tusidhani serikali inahusu watu wa kutoka dunia nyingine, sheria ya kukaa uchi hadharani ipo, na mwenye jukumu la kukamata mhalifu au kusaidia mhalifu kukamatwa linakuhusu wewe na hao wenzako waliokua wanashangilia.
 
Serikali ichukue hatua kwa starehe za watu wazima na akili zao timamu ambazo wewe au mimi hatulazimishwi hata kwenda huko ?

Ichukue hatua kwanza kwa mambo basic ambayo tunawalipa na wapo pale kuyatekeleza..., Nishati ya Uhakika, Kudhibiti mfumuko wa Bei, Kupunguza Rushwa, Uwajibikaji kwenye maofisi ya Umma n.k.

Hayo mengine mtajuana nyie na watoto wenu na wateja wenu kama hakuna wanaopenda hizo kumbi za starehe sidhani kama wanashikiwa bunduki ili waende au wewe sidhani kama umelazimishwa kuangalia hizo clip
 
Darisalama joootooo!Wapi huko tena nikawakemee mkuu?
 
Baada ya baikoko na kangamoto hiyo ndio fasheni mpya mjini na sio kucheza tu bali na kufanya matusi kabisa
 
Hivi kwani serikali yetu sikivu chini ya mama,
Kupitia wizara ya tamaduni, sanaa na michezo
Wanashindwa kutenga bajeti maalum ujengwe ukumbi mkubwa wa serikali kwa ajili ya Watu wazima wakacheze uchi na kujinafasi nafsi zao uko?[emoji848]
 

Ni choice kwenda club, na wanaoenda ni wahuni, no body cares, if it is not good for you then do not go.
 
Kwa hisani yako fanya mpango wa hizo video hizo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…