Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Hili sio suala la kiserikali.
 
Uko sahihi
 
Sasa mbona mafisadi wanaiba na kutumia vibaya kodi ambazo zingewasomesha elimu bora hao watoto na kuwasadia kupata kazi??!
Mtoto wa mwenzio ni wao. Tusaidiane kulijenga taifa bora
 
Kuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga 😅😅😅

Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza 😅😅 alafu mchana kweupe

Dunia ishaisha aisee
Kinachonishangaza ni Basata kutoliona Hilo kwenye nyimbo za bongofleva,yaani huwezi angalia muziki na watoto
 
Kuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga 😅😅😅

Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza 😅😅 alafu mchana kweupe

Dunia ishaisha aisee
Kama kuisha ingeisha zamani.
Haya marudio tu. Zamani watu wamefanya mazito bin zito kabwe.
 
Mkuu nimevutiwa na hii mada ngoja nianze kuzitafuta hizi kumbiii soon ntakuja gombana na jf. Jf jiandaeni nakuja kuweka clip hapa watu waoneee.
 
HIv ndo wasichana hawa hawa wake zetu na mama zetu wanaolilia haki sawaaaa?
Anywaybnitaenda huko kumbi za starehe kuwaangalia
 
Haiwezekani kuweka zuiyo sababu wamekamilisha malipo ya TRAP & TRIP.
 
Taja kumbi tuzifanyie kazi faster..
 
Ba
Ilikua inaitwa Sasambu inavuliwa mpaka Chupi hadharani mchana kweupe na watu wanashangilia, ikapigwa marufuku sababu hadi watoto walikua wanaangalia jimama linamwajiga shanga kiunoni juu ya meza
Dooo ipo njoo kawee hawamwogopi hata Dk pemben akiwapa injili mbwa waleeee...
 
Ulifuata nini night club?
Kule hakuruhusiwi watoto. Mtaa wa Sudan Ni danguro tangu wakati wa uhuru, mtaa uko Temeke mjini kabisa mkabala na hospitali. OCD yupo, mkuu wa wilaya yupo, bwana afya wa wilaya yupo, masheikh wapo na wengi wanaponea hapo.
Unadhani kwanini bado like danguro lipo?
Usituletee za kuleta tuachie tabata yetu.
Tuachie great park yetu, tuachie small planet yetu, tuachie 4040 yetu, tuachie Kimboka yetu.
 
Wewe si ndo Chawa mkubwa wa mama unalalamika Nini.
Tunakujua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…