Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Kumfuta Lissu kugombea hiyo si kitu rahisi wanavyodhani, hiyo itatoa tafasiri 100% kwamba wahusika wa tukio hilo ni wao, kama si wao why HOFU? Kwa nini uumie roho wakati Lissu anaelezea mateso aliyopitia kwa ndugu zake, marafiki zake ama wapiga kura wake ?

Tume ya uchaguzi jitengeni kabisa kwenye hili - Jaji tumia hekima zote ulizonazo - watawala watakuponza - mzobemzobe utabebwa wewe si wao, upepo ushabadilika huu.
 
Kweli kiongozi hawa watu ni hatari sana kwa taifa hili
 
Wewe hapo ulipo upo soba ni kichaa tayari umewezaje kuwasemea watanzania wengine huo ndiyo ukichaa wenyewe nenda kanywe dawa kwanza Akili zikurejee maana inaelekea huna ubongo kichwani
 
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?
 
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?

mbna mwenye kiti wenu alimfukuza zitto alivotaka kua mwenye kiti, mbna wabunge walienda kutimiza bungeni mkawafukuza! who looks stupid here
 
Vigezo vya kaijage ni vigezo vya kupewa toka kwa yule asiyewapenda chadema siyo vigezo sahihi kisheria na kikatiba
 
mbna mwenye kiti wenu alimfukuza zitto alivotaka kua mwenye kiti, mbna wabunge walienda kutimiza bungeni mkawafukuza! who looks stupid here
Wewe unawaona wenyeviti wengine anza na huyo mchoyo wa form ya Urais kwanza ndipo ulete uzushi wako.
 
Kaijage anakuja na sifa na vigezo vyake binafsi walivyovitengeneza huko wanaposhinda, kaijage hataki kutumia vigezo sahihi kwa mujibu wa sheria na katiba
 
Magufuli tunampenda hata kama ni dictator, kajenga uchumi imara nchi zinaporomoka kiuchumi lakini uchumi wa Tanzania unaimarika.
 
Polepole alivyosema hili hukusikia?
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi wasiswasi zenu ni 'bad omen' kwa mgombea wenu.

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…