Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Huyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu.
Kaijage amesisitiza mwenye vigezo atateuliwa kugombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu.
Kweli kiongozi hawa watu ni hatari sana kwa taifa hiliNadhani Mungu tumemuomba sana,Kama Mungu ametuepusha na corona iliyoua maelfu ya watu duniani kote anashindwa kumuondosha mtu anapanga kuharibu nchi yetu,? Nadhani tulipaswa tuombe kuwa huyu mwenyekiti na wale anaoshirikiana nao kupanga huo ujinga wamfate BWM as soon as possible
Wewe hapo ulipo upo soba ni kichaa tayari umewezaje kuwasemea watanzania wengine huo ndiyo ukichaa wenyewe nenda kanywe dawa kwanza Akili zikurejee maana inaelekea huna ubongo kichwaniinfact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?ongea vitu vyenye ushahidi wacha kua na assumptions, hata biblia inaktaza kumshudia mwenzako uongo, mada za kuweka ni mezani ni mfano kwanini mwenyekiti wenu anatumia nguvu hataki kuachia wengine wawe wenyekiti, mfano zitto mpaka akaenda kuanzisha chama kingine, inside chadema baadhi nawajua kabisa hawana ham na huyo lissu mnaompaka mafuta kila sku infact kura za awali hata hakuongoza lissu, na yeye mwenyewe anajua kabisa wananchi wananmchukia , na hua anasema kabisa kwenye mikutano msiompenda kaja sasa sjui mnashabikia nn
Vigezo vya kaijage ni yule anayenunua jogoo kwa laki kisha anampigia debe mzee amuoe mama yakeKaijage amesisitiza mwenye vigezo atateuliwa kugombea
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?
Wewe unawaona wenyeviti wengine anza na huyo mchoyo wa form ya Urais kwanza ndipo ulete uzushi wako.mbna mwenye kiti wenu alimfukuza zitto alivotaka kua mwenye kiti, mbna wabunge walienda kutimiza bungeni mkawafukuza! who looks stupid here
Hiyo ni Tanzania ya mawazoni mwenu.Nakuhakikishi kwamba huu waweza kuwa ndio mwisho wa Tanzania kuwepo duniani
Itamwagika damu ya wajinga kama wewe, watanzania wengine Mungu atatulinda.Ndio mkuu,,damu lazima imwagike hakuna mtanzania ambae atakubaliana na huo upuuzi
Magufuli tunampenda hata kama ni dictator, kajenga uchumi imara nchi zinaporomoka kiuchumi lakini uchumi wa Tanzania unaimarika.Kipindi cha Kikwete wapinzani walisema sana kuhusu katiba mpya, Kikwete akasikia sababu angalau yeye alikua Rais msikivu na Mwanademokrasia. Akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini uliishia hewani.
Awamu hii wapinzani wamendelea kusema sana kuhusu swala la katiba mpya lakini serikali ya Magufuli imeweka pamba masikioni. Haitaki kuisikia kabisa swala la katiba mpya.
Tukumbeke Rais wa sasa ana elements zote za udikteta, asiyeheshimu na kupenda maswala ya demokrasia, hivyo acha turuhusu damu imwagike ktk kupigania uhuru sababu uvumilivu unakikomo.
Taarifa/kuhusu utaratibu Mh. Speaker.Bungeni.
Polepole alivyosema hili hukusikia?kwan KOSA la TRA kudai kodi ni nn? hio ni lzima na sio ombi, alafu wacheni kusemea mioyo ya wengine! hao hao mnaodai mnawasemea ndo kabisaa hawataki kuskia chadema mfano juzi mbowe alienda jimboni akanusurika kipigo kutoka kwa wananchi ni basi tu polisi walimwokoa, hao hao mnaowasemea ndo mlikua mnajaribu kuwapungia dodoma mkabaki kupungia miti, alafu ccm haiwezi kutoka madarakani mpaka 2100 , pole pole alishasema kabisa
Kila siku siyo jumapiliHiyo ni Tanzania ya mawazoni mwenu.
Duuh!!!Magufuli tunampenda hata kama ni dictator, kajenga uchumi imara nchi zinaporomoka kiuchumi lakini uchumi wa Tanzania unaimarika.
Sawa,, endelea kutumia kichwa kama stoo ya makamasiItamwagika damu ya wajinga kama wewe, watanzania wengine Mungu atatulinda.
Hakuna jipya,sheria tulizozitunga na zilizotungwa na bunge ndo zitamuadhibu huyu nduli lissuHuyo Kaijage tunamuonya kwamba mipango yoyote miovu anayopanga kwa kuelekezwa asije akamlilia mtu.
Hizi wasiswasi zenu ni 'bad omen' kwa mgombea wenu.Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?
Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu, hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.