Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

Kumfuta Lissu kugombea hiyo si kitu rahisi wanavyodhani, hiyo itatoa tafasiri 100% kwamba wahusika wa tukio hilo ni wao, kama si wao why HOFU? Kwa nini uumie roho wakati Lissu anaelezea mateso aliyopitia kwa ndugu zake, marafiki zake ama wapiga kura wake ?

Tume ya uchaguzi jitengeni kabisa kwenye hili - Jaji tumia hekima zote ulizonazo - watawala watakuponza - mzobemzobe utabebwa wewe si wao, upepo ushabadilika huu.
 
Nadhani Mungu tumemuomba sana,Kama Mungu ametuepusha na corona iliyoua maelfu ya watu duniani kote anashindwa kumuondosha mtu anapanga kuharibu nchi yetu,? Nadhani tulipaswa tuombe kuwa huyu mwenyekiti na wale anaoshirikiana nao kupanga huo ujinga wamfate BWM as soon as possible
Kweli kiongozi hawa watu ni hatari sana kwa taifa hili
 
infact hakuna mtu mwenye akili timamu atashabikia izo bangi zenu na wala hakuna anaekubembeleza, kabla hata hamjaenda barabaran tayar mwenyekiti wenu ashakoswa na mawe juzi juzi akiwa jimboni hai ni bahati tu polisi walimwokoa! yaani kabla hamjafika barabarani wananchi wenyewe washawanyoosha vizuri, muache bangi sasa!
Wewe hapo ulipo upo soba ni kichaa tayari umewezaje kuwasemea watanzania wengine huo ndiyo ukichaa wenyewe nenda kanywe dawa kwanza Akili zikurejee maana inaelekea huna ubongo kichwani
 
ongea vitu vyenye ushahidi wacha kua na assumptions, hata biblia inaktaza kumshudia mwenzako uongo, mada za kuweka ni mezani ni mfano kwanini mwenyekiti wenu anatumia nguvu hataki kuachia wengine wawe wenyekiti, mfano zitto mpaka akaenda kuanzisha chama kingine, inside chadema baadhi nawajua kabisa hawana ham na huyo lissu mnaompaka mafuta kila sku infact kura za awali hata hakuongoza lissu, na yeye mwenyewe anajua kabisa wananchi wananmchukia , na hua anasema kabisa kwenye mikutano msiompenda kaja sasa sjui mnashabikia nn
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?
 
Mwenyekiti wa ccm mbona alichukua form ya kugombea Urais peke yake? mbona hakutoa uhuru kwa wanzake wachukue form kama vyama vingine? Mbona kamfukuza membe?

mbna mwenye kiti wenu alimfukuza zitto alivotaka kua mwenye kiti, mbna wabunge walienda kutimiza bungeni mkawafukuza! who looks stupid here
 
Vigezo vya kaijage ni vigezo vya kupewa toka kwa yule asiyewapenda chadema siyo vigezo sahihi kisheria na kikatiba
 
mbna mwenye kiti wenu alimfukuza zitto alivotaka kua mwenye kiti, mbna wabunge walienda kutimiza bungeni mkawafukuza! who looks stupid here
Wewe unawaona wenyeviti wengine anza na huyo mchoyo wa form ya Urais kwanza ndipo ulete uzushi wako.
 
Kaijage anakuja na sifa na vigezo vyake binafsi walivyovitengeneza huko wanaposhinda, kaijage hataki kutumia vigezo sahihi kwa mujibu wa sheria na katiba
 
Kipindi cha Kikwete wapinzani walisema sana kuhusu katiba mpya, Kikwete akasikia sababu angalau yeye alikua Rais msikivu na Mwanademokrasia. Akaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini uliishia hewani.

Awamu hii wapinzani wamendelea kusema sana kuhusu swala la katiba mpya lakini serikali ya Magufuli imeweka pamba masikioni. Haitaki kuisikia kabisa swala la katiba mpya.

Tukumbeke Rais wa sasa ana elements zote za udikteta, asiyeheshimu na kupenda maswala ya demokrasia, hivyo acha turuhusu damu imwagike ktk kupigania uhuru sababu uvumilivu unakikomo.
Magufuli tunampenda hata kama ni dictator, kajenga uchumi imara nchi zinaporomoka kiuchumi lakini uchumi wa Tanzania unaimarika.
 
kwan KOSA la TRA kudai kodi ni nn? hio ni lzima na sio ombi, alafu wacheni kusemea mioyo ya wengine! hao hao mnaodai mnawasemea ndo kabisaa hawataki kuskia chadema mfano juzi mbowe alienda jimboni akanusurika kipigo kutoka kwa wananchi ni basi tu polisi walimwokoa, hao hao mnaowasemea ndo mlikua mnajaribu kuwapungia dodoma mkabaki kupungia miti, alafu ccm haiwezi kutoka madarakani mpaka 2100 , pole pole alishasema kabisa
Polepole alivyosema hili hukusikia?
 
Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani?

Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke yangu, hivyo wanaoweza kutupa ufafanuzi tunawaomba watusaidie kujua kama option hii ipo na kama ipo, inaweza kutumika katika mazingira gani.
Hizi wasiswasi zenu ni 'bad omen' kwa mgombea wenu.

TUKUTANE OKTOBA 28!
 
Back
Top Bottom