The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Basi ingefanywa shule ya michezo na sanaa kuliko kufundisha taaluma ha kawaida na kupimwa na wengine kwa mtihani ule ule.Mepitia page yao huko Facebook asee wako vizuri kwenye michezo na talents zingine kama dancing. Mengine hayawahusuu
Watakaofeli la Saba na Ni watoto wadogo waende wapi? Mara Mia wateli huko huko juu wakiwa wakubwa.Kosa la kiufundi serikali kuanza kufaulisha hovyo mtihani wa la saba walienda secondary wanafunzi wenye uwezo mdogo.
Pili bado elimu ni siasa hao div 4 wote wamefeli ila mfumo wa siasa unawafosi waende form 3 matokeo yake form 4 hal inazidi kuwa mbaya.
Hawajiulizi kwann A level shule za serikali huwa zinafanya vizuri yote kwa sababu wanaochaguliwa au wanaoendelea wana sifa na wana kiu ya kusoma.
Shule za kata hasa za mjini wanafunzi wanasoma kwa kuwa ndio washachaguliwa kuendelea ila hawana muda na hyo elimu Serikali ijitafakari nje ya hapo tutazidi kumtafuta mchawi lakini kamwe hawez kupatikana.
Tena Bora na Miaka hii walimu walau wapo na hata Mtaani waliomaliza hawana kazi wapo ,kipindi hicho ilikuwa mbinde kweli kweliMie nimesoma gov enzi hizooo kuanzia la kwanza had form 6...
Niseme ukweli hata kipind hiko walimu walikua hawafundishi wakati tupo form 4 masomo matano kati ya tisa hayakua na walimu na hayo yenye walimu ticha anazama mara mbili kwa wiki sa ingine mwez mzima hamumuoni...
Ikaja A LEVEL pia hvo hvo walimu hawaingii...
Licha ya yote hayo watu tulikua tunazama mapindi mtaani tuna connect na watoto wa shule bora kusaka matirio na tunagonga one kama kama kawa shule tulikua tunaita kituo cha mitihan tu...
Kwa hyo shule ka hyo watoto kufeli ni watoto wenyewe siku hz mambo mengi mara singeli, mara tik tok, mtu anaenda shule na kidaftari kimoja atapata ngapi,
Wazaz wenyewe ndio sie wa 1980's tunawaza kula tunda kimasihara[emoji28] kuna nn hapo...
Hapana tumia akili kama watoto uliopokea ni A kunakuwa na kanuni na kama watoto uliopokea ni B kunakuwa na kanuni pia ...na C , jifunze kwenye mbia za uwanjani utaona wengine wapo mbele na wengine wapo nyuma kwa sababu ya mduara kuna hesabu zake ....tatizo watz ni wavivu wa kufikiri kusuka mipango ,na taratibu na mifumo yenye akiliWalimu wa ilboru, kibaha, mzumbe ,tabora boys , hao ndio watajikuta wanalipwa mishahara mikubwa maana wanapelekewa cream.
Kuna shule watoto wanajua asee, ukiangalia watoto wa ilboru ni A tuu kama utitiri
Hizi za uswazi huko watoto wanaenda kwa kulazimushwa hata wapelekewe maprofesa ni zero tuu
Vijijini wanafaulu Ila dropout ndio kubwa.Ila lengo kuu la Shule za kata ni kupunguza ndoa za utoto na child Labour at least wamefanikiwa na Wala siyo watoto wafaulu,serikali imefanikiwa Sana kupunguza early pregnancies na early marriage Sana tu maana zamani hata huko vijijini mtoto wa miaka 12 anaolewa Sasa hivi walau Mpk amalize la 12 ana 18yrs akiolewa sio ishu Sana au akizaa
Serikali haitoi ajira. Then watengeneza wajinga wengiWanafunzi wa siku hizi ni wapumbavu. Hawafundishiki sababu wazazi hawawalei ipaswavyo.
Tutegemee bomu la makahaba, vibaka, majambazi maana hata serikali ikiwafaulisha bado watafeli tu
Umasikini wa kutengenezwa kimkakatiAll in all ni umaskini wa Nchi zetu.
Hapo utakuta timu nzima ya uongozi wa wilaya itaanza kupiga misele hapo ili kufunika kombe. Wana msemo wao "ni upepo utapita Tu".Halafu ipo katikati ya jiji la Dar Es Salaam
Namaanisha haipo pembezoni[emoji849]
... kuna wale vipanga wa St. Francis, Canossa, etc. wengine wamepiga 97%, 95%, 99%, etc. sijui wana-standardize vipi maana ni kutowatendea haki waliopasua.Unaweza kukuta hizo IV ni baada ya ku standardise zaidi ya mara mbili kama yale ya Big Resilts Now
Jimbo la Prof. Kitila Mkumbo hilo!Hapo utakuta timu nzima ya uongozi wa wilaya itaanza kupiga misele hapo ili kufunika kombe. Wana msemo wao "ni upepo utapita Tu".
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
Hapa ndo nimekuelewa mwalimu.Ila lengo kuu la Shule za kata ni kupunguza ndoa za utoto na child Labour at least wamefanikiwa na Wala siyo watoto wafaulu,serikali imefanikiwa Sana kupunguza early pregnancies na early marriage Sana tu maana zamani hata huko vijijini mtoto wa miaka 12 anaolewa Sasa hivi walau Mpk amalize la 12 ana 18yrs akiolewa sio ishu Sana au akizaa
... kati ya kazi ngumu ni kusahihisha; watoto wenyewe shule za kata. Hiyo miandiko na lugha sasa! Usiombe!Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?
[emoji706][emoji706][emoji706]Aiseee ..hapa hamna shule..View attachment 2474026
😅wengine wamepiga 97%, 95%, 99%, etc. sijui wana-standardize vipi maana ni kutowatendea haki waliopasua.
Nyie ndo mnao wa felishaa, afu lawama kwa walimu khaaaahShule ipo mjini kabisa , kila kona ya kuingia kutoka shule ipo online , daladala zipo za kutoshaa pembeni kama mita 600 kuna ki bettiing shop (nakijua) sasa uulize nini , binafsi , mm nnapenda pisi za hizo shule japo. Under 18 ,