OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Hilo nalo neno. Wahusika walitazame kwa jicho la kipekee. Usipoziba ufa -Utajenga ukuta.Mkuu , tatizo sio waalimu tu ni ngono watoto wanafanya Sana ngono Hadi wanapoteza focus then wa kiume wana Bet Sana na bangi nyingi na ushoga.
Hapo in short hamna shule