Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

Kwenye Mapambano Tu Ya Kimaisha....Huko Huko Ndio Kifo Kilipo Pia...Haijalishi Ni Kwa Namna Gani Au Ni Kwa Njia Zipi...
 
YANI uache KWENDA SA kisa wanauliwa? KWAN SI juzi TU hapa bongo MTU kapigwa shaba, wahusika wamekamatwa? INGEKUA unauliwa bila SABABU,WOTE wangekua wameisha mkuu yamebaki magorofa TU.acha uoga mkuu, hustle haziko ivo


Kwishaaaaa
 
roho yake ipate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani. Heshima kwa marehemu ameondoka akiwa ktk mapambano ya kukataa laana ya umasikini.
Poleni sana wafiwa
Mungu akubariki sana kwa dua Mkuu daah kumbe Tanzania bado ina watu aisee maana ukiwasoma watoto humu unashangaa wanachoandika hata hapo Nairobi hawajafika unabaki kushangaa tu.
 
Back
Top Bottom