Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana aisee mlioko huko au mliowaho kufika inakuaje mauaji yanakua mengi sana
Pole
 
SA kwa sasa sio salama hata ukiwa mwema, kuna jamaa anaitwa Momo ni Mtanzania clip yake imetrend sana wahuni walimuibukia dukani kwake wakaanza kumchapa kisa amefungua duka na wakamtaka afunge duka

Yule jamaa juzi nimeona taarifa kutoka kwa msangi amefariki na ameshasafirishwa huku bongo na ameshazikwa
 
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana aisee mlioko huko au mliowaho kufika inakuaje mauaji yanakua mengi sana
Usela wa Bongo kupeleka kwenye nchi za watu
 
Back
Top Bottom