Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

Yani upo chuo na huna mbinu za kumpiga saund mzee wako nasemaje wewe ni kilaza endelea tu kumkopesha huyo mshua wako maana amekuzidi akili na maarifa.
Mkuu Sawa mi kilaza I admit it,Ila remember ni mzazi nawe haya hayajakukuta.
 
Mkuu aisee kweli Jf ukisema ukweli kumbe ni Zaidi ya ushauri kuliko ningekaa nalo hili moyoni nianze kupata tension na frustration mkuu, umenipa si Tu ushauri Bali ni Bonge la ushauri wa miaka na Kwa next generation.Mtu akiwa na challenges kama hizi basi atasolve Kwa kusoma huu Uzi..NARUDIA VIVA JAMII FORUMS ,VIVA ENG MAXENCE MELO ,NIMEPATA AKILI HAPA NA THANKS MKUU KWA NICE ADVICE!
 
Hivi ulisoma English medium au??
 
Nitajitahidi
 
Mwambie ukweli, unapotoa hela hiyo unaishi kwa shida chuoni, otherwise kama ana shida ya lazima mfn chakula, ugonjwa msaidie utapoweza.
 
Usijali mkuu.

Mrejesho muhimu ili tusaidiane tujue ni njia gani ingine tutumie mkuu.

Kumbuka tu kuwa kila binadamu ana mashaka yake.

Na mtu huwa respected na wengine sio kwa kuvumilia mazuri ya wengine,bali huwa respected na wengine kwa kuvumilia mabaya yao.
 
Dah kama ushauri wa kijinga ila kuna jambo hapo.

Lakini mzazi bhana we acha tu
 
Mm kama mm naamimini mzazi anakopeshwa isipokuwa hayo mazingira ya kumkopesha Mfano baba NI mfanyabiashara nawe NI mfanya biashara na wote mpo vizuli kipese sasa mzee wako amekwama eidha amegiza mzigo pesa ya malipo hana au kuna mzigo anaitaji na amepungukiwa hapo ukikiumba umamkpoesha na una mdai ,
Lkn kwa huyo mzee wako tumia akili kwanza usionyeshe kukwazika na jambo hili pili akikomba laki MPE 50 hii ndio njia mm ninayoitumia iwe kwa ndugu jamaa au rafiki ,au MPE 30 na usimuahidi kwmb utampa pesa nyingine cku za mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…