Hivi suala la mtoto kukopesha mzazi limekaaje?

Duh pole Sana nimekuhurumia, fuata ushauri wa Safuher, akikuomba laki mpe elfu ishirini nyingine mwambie umelipia rum na pia kwaajili ya matumizi
Sawa kabisa now kidogo nimerelax,maana Nilikuwa najitoa kweli.
 
Sawa kabisa now kidogo nimerelax,maana Nilikuwa najitoa kweli.
Usijali mkuu ndo maisha.

We mkwepe kiaina tu,mana makavu love kwa mzee jau,atamaind sana na hilo sio zuri hakuna atakaekusapoti kwa hilo na kila mtu atakuona mtovu wa adabu.

Wewe tumia siasa tu mwanzo mwenga atakaa sawa tu mkuu.

Hata akikuomba 50k mwambie una 20k,wakati huo ulikuwa na 50k yako kamili,hii njia inasaidia.
 
Hii ndo dawa.. tunaweza sema it's a win win situation. Huhuuuuuuhuu
 
Bro Sawa,but ukiangalia kanisomesha international schools Kwa hela zake inakuwa ngumu kidogo since kindergarten.
Nikusahihishe kidogo,
Mzazi wako kukusomesha huo ni wajibu wake na siyo hisani,amekuzaa yeye sasa usomeshwe na nani??
Na huwezi wala hutakiwi kumlipa,fadhira ni hiari.
 
Nikusahihishe kidogo,
Mzazi wako kukusomesha huo ni wajibu wake na siyo hisani,amekuzaa yeye sasa usomeshwe na nani??
Na huwezi wala hutakiwi kumlipa,fadhira ni hiari.
kwani kumsomesha mtoto shule za pesa ndefu ni lazima ?

Hiyo ni ihsani ya mzee tu wewe,baba ahakikishe unakula,unavaa,unapata malezi mazuri,hayo mengine sio lazima kabisa.

Sio kidini wala kiserikali labda kwa muono wako mkuu

Kumsomesha mtoto shule za pesa ndefuna za kayumba zipohiyo ni ihsaani ya baba usidanganyike mkuu,
 
Muwe mnaacha ujinga basi mkuu,dogo kaeleza kabisa vyema kabisa,
Mtu upo chuo unaishi kwa kutegemea boom ule,uvae,utoe copy na kila kitu mzee wako hana hela harafu hiyo kidogo mzee amekuomba 65% yake,
Eti mpe tu hata akahonge mpaka dogo awe chokoraa ndiyo muone kama mzazi wake anafanya mambo ya kipumbavu??
 
Kwanza kabisa mwambie babako aache ushenzi kama kweli anaufanya.

Pili hata wewe sio mstaarabu babako unamwanika wa nini mkuu utapata laana, baba ni baba hata kama malaya
 
Hakuna kitu kinachoitwa shule za gharama kama hela unayo,wewe ndiyo unaona ni za gharama pengine ni kwa sababu za uchumi wako.
Wajibu wa mzazi katika kipengere cha elimu ni kumpatia elimu bora(shule gani?)hiyo inabaki juu yake.
 
Afadhali uniseme watu wanacritisize badala watoe ushauri na usaha.
 
Fikiria nje ya box...mpe vihela kidogo asije kukulaan wakat huo wewe mwenyewe unatunza akiba ya kuanzisha kabiashara baada ya chuo....nadhan unaelewa siku hiz ajira ni nadra Sana.
 
Ww mdanganye. ... Angalia jukwaa lote kama wako nje ya ushauri wangu.... Unapayuka hovyo unadhani itasaidia jambo...... Dogo shika kile watu wengi wanashauri.....
 
Wewe ni mshenzi sana na huna akili kabisa!

Kwa ujumbe huu unaiambia serikali kuwa inatoa pesa nyingi sana kiasi kwamba unapata uwezo wa kukopesha?

Kwani huwezi kumsitiri huyo mzee wako hadi uje kumuanika hapa?

Hivi serikali hii,na unaijua,ikisema ipunguze kiasi cha mkopo ili wapate wanafunzi wengi utamlaumu nani?
Na wakati wewe unatuambia unakopesha pesa hiyo ujue kuna wengine wamekosa kabisa mkopo na wanahangaika.
 
Bro punguza ukali na sijamuanika in such,Ila sometimes kama unahitaji advice inabidi ufunguke kiakili..
 
Ooh pole sana mdogo wangu, sasa nimeelewa tatizo lako.... ipo hivi kazana na shule sana, baba maisha yake yameshamuishia ndio maana anaponda mali kufa kwaja, wewe bado una safari ndefu sana ya kujenga maisha yako.

Jikaze akikuomba pesa mwambie umemaliza kwa kununua mahitaji yako muhimu, atakasirika, atakusema lakini kaza roho usimjibu zaidi, endelea kua unampa majibu hayo hayo au siku nyingine unampoza na buku 5 unamwambia ndio uliyonayo,

Ukimaliza shule, upate ajira basi utakua umejiondoa kwenye utegemezi kwake, ila ujue utaingia rasmi kwenye kumuhudumia sababu atajua una hela, usiogope, endelea kumtunza na kidogo utakachojaaliwa huku ukijihifadhia chako na wewe.

Good Luck.
 
Hakuna kitu kinachoitwa shule za gharama kama hela unayo,wewe ndiyo unaona ni za gharama pengine ni kwa sababu za uchumi wako.
Wajibu wa mzazi katika kipengere cha elimu ni kumpatia elimu bora(shule gani?)hiyo inabaki juu yake.

Hiyo wasema wewe bwana mkubwa.

Iwe itakavyokuwa mkuu mzazi kumsomeaha mtoto shule za gharama sio lazima.

Huwezi kutuaminisha hapa kuwa kusoma feza na kusoma shule ya kata gharama sawa,huu utakuwa sio uadilifu.

Sio lazima kwa mzazi kUsomesha shule za gharama bali ni ihsani yake tu anafanya.
 
Hapana,Ila yaani anyway uko sahihi Kwa upande wako Ila hayajakukuta ndo maana,kahela hako hako usurvive miezi minne,ule, uvae,utoe copy ,hapo hapo kama Una kademu uhonge,ubeti,na pia usave ,tena ukopeshe ni lini SASA utadevelop?
Bwana mdogo umenichekesha sana hapo kwenye ku BET
 
Hapana,Ila yaani anyway uko sahihi Kwa upande wako Ila hayajakukuta ndo maana,kahela hako hako usurvive miezi minne,ule, uvae,utoe copy ,hapo hapo kama Una kademu uhonge,ubeti,na pia usave ,tena ukopeshe ni lini SASA utadevelop?
Hii tu kumsengenya baba yako JF umekwisha kulaaniwa. Mambo ya familia hasa wazazi siyo ya kuleta kwenye public.
 
Ni kweli asante, nitafanya hivyo kuanzia now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…