Mmbebe tu huyo nyau vizuri nenda sehemu mtupe nenda daraja kubwa mtupe huko,ila kichekesho, tulikwenda home kijijini tukapewa paka,tukaishi nao,maana ni 3 unajua kijijini panya wengi,basi bwana paka hashiki sana panya na akizaa anakula watoto wake. Nani
mwizi balaa,mara anakwaruza watu,anakula mizoga yaani full drama alining'ata kama nini vibaya mno. Sasa baba akataka kumuua kwa sumu hajala kile chakula , akamtegea mitego mingi. Akamshindwa,aisee shida kweli. Ndio akambeba akaenda kumtupa sehemu ya mbali sana . Ila baada ya siku kadhaa akamsikia amerudi. Baba yangu alimchukua akamkemea nakumuamuru atoweke. Baada ya maombi hayo hakuonekana hadi na leo