Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ww ni Shoga? Unapofananyisha wenzako kama ww?Ninaposema mashoga wamejaa JF huwa namaanisha, hivi wewe unaweza kupambana na paka tukufungieni ndani wawili?
Mapimbi kama wewe hamjui paka yupo kundi moja na chui na Simba.
Simba na Chui wote ni Cat na huyu wa domestic unayemchukulia powa kwa sababu ni Juha naye ni Cat.
Tofauti yao Simba na Chui ni paka wakubwa na huyu wa nyumbani ni paka mdogo lakini ni walewale.
Unakulaje Paka,hiyo ni njaa iliyopitiliza.Umewahi kula nyama ya paka? Usiue msosi huo , mchinje ule paka rost
fulani na fulani ni paka na panya, ebu tuanzie hapo.Aliyekuambia kazi ya kupigana na panya nyumbani ni ya paka ni nani? Hii ni imani potofu. Kazi ya kupambana na panya ni ya binadamu. Paka wanaokamata panya wanafanya hivyo kwa kukosa chakula. Hata siku moja ukiona nyumba yako ina mapanya usikimbilie kutafuta paka. Ukifuga paka kwa ajili ya kukuondolea panya utaishia kulalamika kama mwanzisha thread. Ukifuga paka uwe na bajeti ya kumlisha.
Wananusa sana hao hata sumu hawaliRungu humpati huyo,nilikua na paka moja la kike jizi sana.
Friji linafungua tu litakula mboga zote.
Sana samaki na dagaa badae linaleta na mabwana zake.
Nikaona ngoja huyu namuondoa.
Nilikua na lile betong la kuchezea golf.
Hapo tuko wawili tu niliweza.
Piga dharuba kruka ukutani
Piga lingine katoka kunivaa,lingine ikawa vita sasa
Badae nikafungua mlango huyo kakimbia.
Dawa yao ha ni sumu tu kwenye samaki hao anaopenda au dagaa.
Sasa jichanganye ushaweka sumu kwenye samaki umekula monde unakula tena hicho umemtegea.
Unakufa wewe.
sio kweli mkuu nenda kwa wazungu ambapo mbwa ni sehemu ya familia anaweza kukaa barazani na wamiliki basi mbwa wao wakiwa na paka wote wanakaa ndani na wanakuwa marafikiMbwa anakula Paka'
Paka anakula Panya
SULUHISHO: Fuga Mbwa huyo Paka' atahama mwenyewe bila kupenda
Usimtie kwenye kiroba
Usimtie Rungu
Usimpige na bullet
Usimsafirishe
Paka hakai na Mbwa nyumba moja ukimuingiza Mbwa Paka' lazima atahaga mpambano
Kuna wimbi kubwa la mashoga JF ambao wanatafuta mabwana kinguvu.
Usiweke kwenye bakuli nje au sufuria.Wananusa sana hao hata sumu hawali
Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi.
Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu.
Sasa imekuwa kero nyumbani amezidi wizi mkiweka nyama au samaki huyu ni kama chui anweza kupanda popote na hivyo vitu mkileta ndani anajuwa viko wapi ana uwezo mkubwa sana wa kunusa.
Nimevilia sasa nimechoka vituko vyake najuws muda wake asubuhi huwa analala usingizi mzito, sasa nimepanga kumlia timing nimtandike risasi za kutosha maana ndio njia rahisi kwangu kumalizana naye.
Kabla sijatekeleza ukatili huu, kama hapa JF kuna mtu anahusika au amawajuwa wanaohusika na haki za wanyama anijuze niwasiliane nao ili wamnusuru na ukatili ambao nakwenda kuufanya, nimechoka kwakweli na vituko na wizi wake.
Nawasilisha.
Hao SIO Mbwa na Paka ni Mbwa na Paka wa KUCHORAsio kweli mkuu nenda kwa wazungu ambapo mbwa ni sehemu ya familia anaweza kukaa barazani na wamiliki basi mbwa wao wakiwa na paka wote wanakaa ndani na wanakuwa marafiki
Paka hafi kwa sumu ya panya, labda binadamu ndio anakufa kwa sumu ya panya.kuna jirani yangu alikua anafuga kuku wa kienyeji bas walikua wanataga na wanalea mno vifaranga yan kuku kua na vifaranga 10 akavikuza sio shida jamaa akajaza sana banda mtaani, kuna paka akaona windo la bure anakuja anakamata vifaranga hata vinne anakata vichwa analala chini ya mwembe,jamaa akawa na moyo wakuvumilia tu kwamba akija anamfukuza kimbembe siku moja kuku wake katoka na watoto kumi nambili nje ile anarud kutoka mjini kuwanunulia vyakula anakuta paka anamalizia kifaranga cha mwisho alichokisema n kimoja tu nimechoka nitakuua, akachukua samaki wekea ile sumu ya panya ya chenga nyeus akatega kila anapojua huyu paka anapenda kupita pita na kujipumzisha tulimkuta asubuhi kafa kwenye mwembe anapopenda kulala akishakula vifaranga so dawa hio
Mkuu hapa unazungumzia wale paka wanaotumwa dukani na pesa na wanarudi nyumbani na bidhaa siyo hawa ukila tonge la ugali anameza yeye huku kakukodolea macho.Kuna chama kinaitwa Tanzania Animals Protection Organisation makao makuu yake yako Dar na Shinyanga hiki chama ni NGO kiko chini ya SPCA Society for Protection of Cruelty to Animals chama cha New York Marekana.
Ofisi za TAPO ziko hapo karibu na Muhimbili nahisi kile chama cha zamani TASPC wamebadili jina.
Wanyama wote mbele za MUNGU ni viumbe wake japo kwenye vitabu vya dini wapo walioharamishwa.Mfano Nguruwe waslam kutokula Nguruwe haiamanishi waislam wanakubali Nguruwe afanyiwe ukatili.
Wanyama MUNGU amewaleta kwa makusudio maalum kwenye sayansi tunasema Ecosystem.Mfano unaweza ukaangamiza wanyama aina flani jamii nyingine ya wanyama wakaangamia hatimaye binadamu naye akaangamia.Nitoe mfano mbu ni kero kwa binadamu lakini ndio wanafanya popo aishi popo naye akipotea kuna wanyama kwenye food chaini watakufa mfano nyota na baadhi ya ndege.
Wanyama hata wenyewe wanapata maumivu binadamu unayoyapata wewe ukisulubiwa.
Habari za Paka ni antena ya wachawi ni imani za kishirikina zilizopo Africa huku sisi wajinga wajinga mbona wazungu hawana hizo imani na hawadhuriki.Bundi wamemuweka kundi la mlozi lakini ukweli bundi sio mlozi kinachotokea ni kwamba ukiwa na mgonjwa nyumbani kwako akianza kufa taratibu zile cell za mwili bundi ana kipaji cha kujua hivyo anapata hisia kuwa kuna mzoga uko karibu ndio maana akilia juu ya paa lako mgonjwa akifa utasema ndio aliyeleta mkosi.
Wazungu wao mbona hawapati haya madhara?
Kutumia risasi ajili ya kumuua paka msumbufu ni uharibifu wa pesa.Ukitaka kumuondoa paka wako mkorofi hakuna haja ya kumpiga rungu wewe mchukue muweke kwenye mfuko na usiwe unageuka nyuma nenda kilomita za kutosha mfungulie rudi nyumbani kwako atakuwa paka shume ila utakuwa hujatenda dhambi.
Wenzetu wazungu paka anaweza fungiwa hata Chip ya signals asipotee na hata mtu akipotelewa na paka au mbwa anaweza andika kwenye gazeti au kutangaza kwenye TV.pia wenzetu unavyoona kuna vituo vya kutunza watoto Yatima pia kuna sanatorium ajili ya kutunza wanyama waliotelekezwa.
Kuna mawazo yasiyo rasmi yasiyo na ushahidi nawaza kuwa waafrica tulivyo nyuma sana kimaendeleo sometimes ni laana MUNGU ametuachia kutokana na roho mbaya tulizo nazo
Risas 500 kwa mwakaaa??? Thubutuuu yako,! Au mwenzetu unamiliki silaha gani?Yani sometime sipendi kubishana na kina mama, nina kibali cha kunuwa risasi 500 kwa mwaka, nisipopata watu husika huyu namnyoosha kwa bullet.
Siwezi kubishana na mtu unayebisha kitu usichokijuwa.Risas 500 kwa mwakaaa??? Thubutuuu yako,! Au mwenzetu unamiliki silaha gani?
Wewe ndo hujui. Kukusaidia tu kiwango cha kibali cha Risas unachoruhusiwa kununua/kumiliki katika kila mwaka kimeoanishwa kwenye Sect 22 of the firearms and ammunition Control act ya mwaka 2015.Siwezi kubishana na mtu unayebisha kitu usichokijuwa.