Huyo kwa kweli anastahili shaba tu! Kama anataka nyama kwa nini asiwinde panya humo ndani? Niko upande wa Dr. Matola (PhD)Umaskini ni mbaya sana. Unaua mnyama kikatili kisa anakula nyama, dagaa na tusamaki twako. Muache naye ale maisha mkuu.
Hivi akitokea mpumbavu na Juha kama wewe akiniambia sijatahiriwa unategemea nitowe jando kuthibitisha.Wewe ndo hujui. Kukusaidia tu kiwango cha kibali cha Risas unachoruhusiwa kununua/kumiliki katika kila mwaka kimeoanishwa kwenye Sect 22 of the firearms and ammunition Control act ya mwaka 2015.
Sasa tueleze wewe una silaha gani tu tukuwekee specific limit ya Risas unazoruhusiwa kumiliki in that particular year. Otherwise endelea na porojo zako kwa wasiojua. Wanaojua wanakutizama tuuu!
Huna hoja na Ndo maana watoa irrelevant examples . Poor you.Hivi akitokea mpumbavu na Juha kama wewe akiniambia sijatahiriwa unategemea nitowe jando kuthibitisha.
You are a fool.
Dr.vipii wa ukweli au wa miziziiii1šWakata mauno wa JF, wakiona mwanaume tigo zinanyevuwa.
Huna akili, subiri hivi vitoto siku moja uvifundishe halafu watakuonesha inatumikaje.Huna hoja na Ndo maana watoa irrelevant examples . Poor you.
next time punguza uongo wa hadharani.
Pia njoo nikufundishe matumizi ya silaha kama una hamu ya kumiliki mojawapo.
Kwa hiyo wewe umeona hao ndo wanajua sana silaha?anyway nilikuwa nakuelimisha tu. Sina muda wa kubishana na kushindana na asiyejua kitu.Huna akili, subiri hivi vitoto siku moja uvifundishe halafu watakuonesha inatumikaje.
View attachment 2998907View attachment 2998909View attachment 2998910
Kwani nilimlazimisha awe mwizi ?ukatili ulioje? Kwani yeye hana roho au hakuumbwa?
Unajua ni ukatili na bado unataka kuufanya?Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi.
Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu.
Sasa imekuwa kero nyumbani amezidi wizi mkiweka nyama au samaki huyu ni kama chui anweza kupanda popote na hivyo vitu mkileta ndani anajuwa viko wapi ana uwezo mkubwa sana wa kunusa.
Nimevilia sasa nimechoka vituko vyake najuws muda wake asubuhi huwa analala usingizi mzito, sasa nimepanga kumlia timing nimtandike risasi za kutosha maana ndio njia rahisi kwangu kumalizana naye.
Kabla sijatekeleza ukatili huu, kama hapa JF kuna mtu anahusika au amawajuwa wanaohusika na haki za wanyama anijuze niwasiliane nao ili wamnusuru na ukatili ambao nakwenda kuufanya, nimechoka kwakweli na vituko na wizi wake.
Nawasilisha.
Paka hafi kwa sumu ya panya, labda binadamu ndio anakufa kwa sumu ya panya.
Waliosema paka ana roho saba usidhani huo msemo ni wa bure.
mazingiraKwani nilimlazimisha awe mwizi ?
mazingira