Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

hiyo ndio submarine net hivyo unaweza usiwe na submarine ukawa na nyavu zako za kutosha kama mzee chunike wa ununio beach na ukafanya maajabu
 

Jifunze kushirikisha ubongo unapojadili hoja, mleta mada kahoji masuala ya usalama na je kama nchi imejiandaaje kujikinga dhidi ya nyambizi, hilo ni suala mtambuka na haliwezi kujadiliwa utakavyo wewe, great thinkers lazima wajiongeze na kujadili zaidi ya hapo.
 
Hua zina kuja sana tu pale near Magogoni afu zina sepa si unajua rada zetu za mchongo alizo leta mkapa
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Submarine gani inauzwa kwa $25 billion?
Kuna diesel powered submarines kibao ukiwa na under $800 million unanunua tena zina AIP. Hata nuclear powered submarines kama Virginia class, Borei class, Barracuda class wala Oscar class hazikuwahi kuwa na gharama kubwa hivyo.

Ford class aircraft carrier yenyewe iko kwenye $10 billion sembuse sub. Carrier ina bei kuliko sub.

Kwa $25 hapo Urusi, India au China zinaweza develop an entirely new class of nuclear powered submarine.
 
Mnigeria mwenyewe hana

We utakuwa nazo hizo deadly vessels

Ova
 
Hua zina kuja sana tu pale near Magogoni afu zina sepa si unajua rada zetu za mchongo alizo leta mkapa
Radars na submarines wapi na wapi. Subs zao ni sonar system kama buoys na listening devices.
 
View attachment 2815633hiyo ndio submarine net hivyo unaweza usiwe na submarine ukawa na nyavu zako za kutosha kama mzee chunike wa ununio beach na ukafanya maajabu
Hizi zinawafaa wenye straights kama Sweden, Egypt pale Suez, Turkey pale Bosporus na kule Panama. Kwanza anti submarine nets zinahitaji maji yasiyo na kina kirefu sana, submarine either ipite juu kidogo ishikwe na net au ipite chini i-run aground.

Sweden walizitumia hizi kuzuia Soviet subs kutoka St. Petersburg au Kaliningrad kwenda Baltic sea kwa kina Norway na Denmark na hapo kuingia bahari kuu.
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Umenena vyema mkuu. Hata hao super power walio azo ni za kuhesabika sio maelfu wala mamia. Ni makumi kadha a tu. Sub ni kitu kingine. Labda nikukosoe kidogo, kwa Africa nchi ya Misri wanazo kadhaa. Zinahesabika kwenye viganja vyako vya mkono.
 
Uwanja wako mzee wa kudadavua masilaha na mavifaa [emoji1]

Ova
 
Jeshi la sita kwa ubora duniani likose nyambizi kweli? Si ajabu tunazo kibao tena za kinyuklia πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Baada ya Marekani, China, Urusi, North Korea na Uingereza tunafata TZ πŸ™πŸ˜€
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawez kuandika ujinga kama huu!
Submarine moja ya kijeshi sio chini ya $25 billion dollars hakuna nchi yoyote ya afrika inaweza kununua
Hata south Africa unataka kuniambia hawana nyambizi? Submarine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…