Hivi Tanzania tuna submarine kweli? Tukivamiwa kupitia chini ya maji itakuwaje?

Nyambizi walizonazo ni ndogo za uvuvi na utafiti tu sio za kivita.
South Africa wana nyambizi ya kivita, na hamna nyambizi inatumika kuvua samaki, uvuvi huwa inatumika trawler.

Kitendo cha kusema nyambizi inatumika kuvua samaki inadhihirisha hujui chochote kuhusu nyambizi ni sawa na mtu akwambie power tiller inatumika kuchimba madini. Epuka aibu ndogondogo.
 
Kwa hiyo unabisha au?? Najua ninachoongea
 
Hata hizi nuclear powered submarine unaweza kuzinasa kwa hiyo neti ?

T14 Armata
 
Hata hizi nuclear powered submarine unaweza kuzinasa kwa hiyo neti ?

T14 Armata
Zile neti huwa hazibagui hazichagui,ingawa kiukweli pia ni mbinu ya muda kidogo nilichotaka kusema ni kwamba mara nyingi kwenye hizi mambo ikiwa mwenzako ana kifaru cha kisasa zaidi ,haiitaji wewe kuwa na kifaru cha kisasa pia bali utahitaji ant yake ili kuweza kukipiga pasipo wewe kuwa na kifaru kama kile au kuzidi
 
Mkenya vipi kwenu? Kuna submarine ngapi?
 
Tuvamiwe tuna nini sisi? Kwa lipi kwanza na nani? Lbd na samaki wa majini
 
Narudia. Ondoa mbwembwe za kikenya hapa na kutaka ufahari. Hoja yako iliyosabaabisha nikujibu inahusu ikulu kuwa karibu na bahari.
Nasema tena, sio kila kitu tuige au tuone sehemu nyingine. Ile ikulu imekuwepo pale mda wote wa taifa hili. So itaendelea kuwa salama.
Narudiia, toa arogacy hapa na tujadili mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…