Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

Mkuu hiki kifaa kazi yake ni kukusanya mawimbi ya sauti na kuyaelekeza ndani ya sikio, sasa kwa mtu ambaye anashindwa kuelewa kinachozungumzwa hata kwa sauti kubwa kitamsaidia vipi?.
Ni kweli.maana auditory nerves zinakuwa zimepara tatizo.sasa faida peke atayoipata ni sauti kuja Kwa juu but kuelewa matamshi ni Kwa kubahatisha
 
Pole Sana mkuu

Mimi binafsi nilikuwa naichukulia kawaida sana changamoto ya usikivu Ila Karina harakati zangu nimegundua hii ni changamoto kubwa na inaweza kumkosesha mtu fursa za kiuchumi.

Sehemu nyingi maeneo ya Kazi wakigundua hausikii vizuri tayari wanaanza kukufanyia unyanyasaji .

Ndo maana wasomi wengi wenye hii changamoto asipopata fursa serikalini wanaamua kufanya tu Biashara .

Ni mateso Sana .


Ni mbaya MTU akifanyia stigma
 
Umesema ukweli.tunapitia wakati mgumu sana kiuchumi.ni wachcahe hufanikiwa
Ukiwa huna elimu kubwa ama ujUzi ndio tatizo zaidi
 
Unais hi vp kucopy na hiyo hali ya unyanyapaa@sister abigail
 
The same hali yangu nina hali yangu ya kutokanyaga chini miguu yangu yote miwili ila mimi nimechukulia kawaida tu
 
Umesema ukweli.tunapitia wakati mgumu sana kiuchumi.ni wachcahe hufanikiwa
Ukiwa huna elimu kubwa ama ujUzi ndio tatizo zaidi

Kweli Ila Kama umepata hii shida ni vizuri ukawa makini Sana ili usikuze tatizo zaidi .

Maana Mimi nimekaa na Dada hasikii viziuri kiukweli nimeoja ambavyo anajichukia Sana maana kila mtu anamkataa hasa katika mahusiano.
 
Unais
hi vp kucopy na hiyo hali ya unyanyapaa@sister abigail
Unamaaniaha ku cope?
Kama ni hivo huwa unahitaji kuwachukulia watu tu kamaa walivyo.haitakupa shida
Ila ukiendelea kuwapa mkazo na attention kubwa unajikuta uko depressed.
Mi Kwa Sasa nimewazoea.
 
Hii imenisaidia sana hadi hapa nilipofika.
Barikiwa mno kwa maneno ya kweli.
 
Linaweza kutibika ukitembelea wataalamu wa masikio, wanatambulika 'ENT'
Mimi nilihudhuria clinic Muhimbili ENT miezi 3 nikitumia dawa huku wakiendelea kuniangalia,na aliyekuwa daktari wangu ni specialist wa ENT,baada ya miezi 3 wakasema solution ni mbili,ufanyiwe operation ambayo ni very risk,unaweza kupona au ukabaki na kilema,au utumie hearing aids,akasema sikushauri ufanye operation,kwahiyo nikaandikiwa hearing aids na nikaanza kuzitumia,zinasaidia kwa kiwango flani lakini sio kama zinakurudishia usikivu wa sikio la kawaida...
 
Mimi huwa naona njia nzuri na bora ya kushinda hali Kama yako.

Kuwa na circles ya watu wanaojua shida yako and hang out with them.

Maana huku Africa Tanzania hatukuandaliwa Kama watu ambao tunaweza Kuvaa viatu vya mtu.


Nimewahi kuona mama mtu mzima na nilikuwa namuheshimu Sana Ila alikuwa akimuita Dada ninayekaa nae mtaani Kiziwi alikuwa hasikii vizuri so that was bullshit Ever.
 
Dawa za asili zipo usiwe mbishi Kwa kila kitu Mimi mzee wangu alikuwa hasikii .

Ila kuna Dawa alitumia akapona .

Nipo Bukoba Ila nikifika DSM Kwa mzee nitamuuliza hiyo Dawa.

Dawa zipo na zinatibu
Dawa za asili zipo na zinatibu kweli, ila kwa tatizo lililosababishwa na mwingne.

Ila aliyezaliwa na hilo tatizo haponi, mzee wako alirogwa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…