Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.