Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

Lissu ana roho ya Ujasiri! Ni Mungu mwenyewe ameweka roho hiyo ndani yake.
Na ni nani aishiye milele? Ni nani Matendo yake yanayompendeza Mola Mungu Mwenyezi hadi aalikwe kukaribia kiti cha enzi?
Wamwache tu maana hata wao siku zao si za milele na zinahesabika mbele ya Muumba wetu aketie kwenye kiti cha enzi.
Ya nini kujipatia stress za kumuua asiye na hatia na damu yake kuwalilia hadi nao watoweke?
Ni ukosefu wa maono kumtishia mtu kifo au kumuua ili hali sisi sote tupitia humo humo si zaidi ya miaka 90 toka sasa.
 
Ndugu, kwakuwa wewe hauwajui wahusika na kilichowapata haimaanishi kuwa 'hawajulikani' na kila mtu.
 
Back
Top Bottom