Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
AiseeMke wake Hana shida, wewe ni Nani?
Ni kweli mkewe hana shida ila shida unayo wewe😀😀😀😀Mke wake Hana shida, wewe ni Nani?
Kila mtu amezaliwa kwa hulka na tabia yake, wengine, waoga, wengine makatili na wauaji, wengine jasiri na wapambanaji na wengine wambea na machawa nk. Tundu amezaliwa kivyake.View attachment 3179288
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.
Unaelewa maana ya jasiri? Dunia hii Kuna binadamu ambae atasalimika na kifo?? Kifo kipo tu hata ukimbilie mwezini Bado utakufa tu! Mwenyezi mungu ndie ajuae namna Gani amekuandalia kifo chako na sio binadamu yeyoteView attachment 3179288
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.
Kwayanayo endelea Sasa ndani ya chadema Nina Imani hii ilikuwa ni kazi ndani ya chama hata jana Lisu alikuwa na wasiwasi na maisha yakeKila nikiangalia hii picha,, huwa nasema bora Jiwe( yule dhalimu) alikufa.
Mungu aliwafanyia watanzania wepesi kwa kushusha pigo moja takatifu ili watu wake wapone.
Je ungekuwa wewe ungesema hayo? 'Majasiri' mko wapi mbona hatuwaoni? Acha kujidanganya na kudanganya.Unaelewa maana ya jasiri? Dunia hii Kuna binadamu ambae atasalimika na kifo?? Kifo kipo tu hata ukimbilie mwezini Bado utakufa tu! Mwenyezi mungu ndie ajuae namna Gani amekuandalia kifo chako na sio binadamu yeyote
Nelson mandela na icon wengine ulaya na south america walioteswa zaidi ya hiki? Wangekata tamaa mataifa yao yangekuwa hapo?View attachment 3179288
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.
Du!! kwa hiyo hao wauaji wana collabo na cdm? mm najua yeye anataka u chairman wa cdm.View attachment 3179288
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.
Kila mahali kuna majasiri ndio maana kuna wanajeshi .Je ungekuwa wewe ungesema hayo? 'Majasiri' mko wapi mbona hatuwaoni? Acha kujidanganya na kudanganya.
Yesu alisema (pamoja na mateso haya yote) "mwenye kuvumilia ndiye atayeokoka."View attachment 3179288
Kwa namna alivyouawa mzee Ali Kibao bila wahusika kujulikana, kutafutwa wala kuchuliwa hatua, ni mwendawazimu pekee anayeweza kujiamini mbele ya makatili na wauaji ambao wameshika kani chini ya kivuli cha watu wasiojulikana ingawa wanajulikana. Kwa kuzingatia hali na ukweli huu, nashangaa Tundu Lissu anajiamini nini wakati alishajaribiwa. Je anaamini kuweka wazi njama dhidi yake kutamsaidia asimalizwe? Je anaamini hivyo vyombo vyake vya kimataifa au kuna namna? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa Lissu hapa duniani? Je ni ile hali ya la kufa? Baba yenu sielewi.
Hata nyerere angewaogopa wakoloni kwa kuwa waliwanyonga waafrika hadharani basi usingekuwa huru hadi sasa ,View attachment 3179288