Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
🤣🤣Mkorofi wewe
Mimi siwez lakini nitajifunza maana ukipenda sana ni shidaUnaweza cute?
Sio lazimaNipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.
Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke, udharaulike, unyanyasike na huyo umpendaye?
Yaani ana dalili zote hakupendi, na una dalili zote unaforce mapenzi na kuaminika kwake, je, ni lazima unyanyasike ndiyo uprove unapenda? Yaani huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau, kwani lazima upitie hayo?
Noo usijifunzeMimi siwez lakini nitajifunza maana ukipenda sana ni shida
Sikushauri[emoji12]Asante mom angu...mi nimeamua hata nusu hiyo nibaki nayo
Usisahu mwosha huoshwa ukifika wakati ukiraruka ni heri uendelee na mishe zako, usijejuta zaidi😊Shida atakapokaa sawa nami nitakuwa nimeraruka Ivo Bado yayakuwa yaleyale
KwaniniNoo usijifunze
😂😂😂😜Asante mom angu...mi nimeamua hata nusu hiyo nibaki nayo
Hahahaaa!!Kazi ya moyo ni ku pump damu.Kupenda ni kiherehere chako.Wala usiusingizie moyo.
Tako lipo?😎😎😎Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.
Ukiweza ignore and override unakuwa huna tofauti na malaya,, utaenda mbali zaidi na hutaweza kurudi, mapenzi yatakuwa sio hisia tena yatakuwa ka mchezo and trust me si nzuri in a long runKwanini