Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Utawekwa ndani, njoo mwenyewe,
Nitaandika siwezi kuishi bila Beesmom wa JF mtengeneza asali ya Moyo wangu. Tamutamu ulimini na rohoni. Alafu nitakata roho, uone Kama Polisi hawajakusaka
🤣🤣🤣Unataka jamii iniue
 
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.

Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke, udharaulike, unyanyasike na huyo umpendaye?

Yaani ana dalili zote hakupendi, na una dalili zote unaforce mapenzi na kuaminika kwake, je, ni lazima unyanyasike ndiyo uprove unapenda? Yaani huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau, kwani lazima upitie hayo?
Sio lazima
 
Shida atakapokaa sawa nami nitakuwa nimeraruka Ivo Bado yayakuwa yaleyale
Usisahu mwosha huoshwa ukifika wakati ukiraruka ni heri uendelee na mishe zako, usijejuta zaidi😊
 
Back
Top Bottom