Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

#1. Aache ubaguzi wa:
a. Kikanda
b.Kichama
c.Kikabila
d.Kidini

#2.Aache Chuki dhidi ya:
a.Matajiri
b.Wastaafu
c.Wachagga
d.

#3.Aelekeze nguvu kwenye:
a.Kilimo
b.Barabara
c.Afya
d.Elimu
e.Umeme
f.Maji

#4.Apunguze mambo haya:
a.Dharau
b.Kujimwambafai
c.Kibri
d.Jeuri


#5.Aongeze mambo haya:
a.Heshima
b.Utu
c.Demokrasia
d.Usikivu
e.Ajira
f.Mishahara
g.Upendo





Kwa leo yanatosha ila yakifanyiwa kazi hayo kuna mengine
 
Nimeielewa Mkuu ila yawezakana sikuelewa kama ulivyokusudia,me nimetumia "Denotative/Conceptual meaning" kuelewa.Waweza nisaidia kama niko kinyume na kusudi lako!!..
 
Amen mkuu,naomba aone hapa..anipe nafasi ya kuwatumikia watanzania...
Mkuu hapa anaona vizuri sana,Mungu tu amuongoze akupe hitaji la moyo wako,kila sifa ya kuwa kiongozi bora unayo educated,integrity,inspiration & self motivated na clear goals na nyingine tele,ukipata utuwakilishe vyema wana JF, baraka zetu zote unazo.
 
Ushauri mzuri sana,ukifuatwa unaweza saidia kupunguza kama sio kuondoa kabisa ufa uliojitokeza hivi karibuni na kurejesha umoja wa kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…