Uncle Araali JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 950 Reaction score 1,262 Apr 21, 2023 #21 Salary Slip said: Yule mwingine enzi zake, hakutaka watu wahoji, akahamishia madudu yake kwenye akaunti zisizokaguliwa na akawa anaitwa Mzalendo! Bongo ni nchi ya maajabu kabisa! Click to expand... Kwahiyo unataka tuhalalishe wizi kwa sababu hiyo? Ujinga na ubinafsi umekutawala mkuu. Address the issue at hand.
Salary Slip said: Yule mwingine enzi zake, hakutaka watu wahoji, akahamishia madudu yake kwenye akaunti zisizokaguliwa na akawa anaitwa Mzalendo! Bongo ni nchi ya maajabu kabisa! Click to expand... Kwahiyo unataka tuhalalishe wizi kwa sababu hiyo? Ujinga na ubinafsi umekutawala mkuu. Address the issue at hand.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Apr 21, 2023 Thread starter #22 WAGO - THE LEOPARD KILLER said: Kwahiyo unataka tuhalalishe wizi kwa sababu hiyo? Ujinga na ubinafsi umekutawala mkuu. Address the issue at hand. Click to expand... Ndio ulivyoelewa au wewe ni chawa?
WAGO - THE LEOPARD KILLER said: Kwahiyo unataka tuhalalishe wizi kwa sababu hiyo? Ujinga na ubinafsi umekutawala mkuu. Address the issue at hand. Click to expand... Ndio ulivyoelewa au wewe ni chawa?
Y yvegenc prymacov JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,530 Reaction score 1,961 Apr 22, 2023 #23 Mtutuwandei said: Na ufisadi wa BOT twin towers kwamba ulikuwa ni wa mtu mmoja tu. Click to expand... Hebu ukumbushie kidogo huo ufisadi mkuu,ni majuzi tu umeleta mzozo kwenye group.
Mtutuwandei said: Na ufisadi wa BOT twin towers kwamba ulikuwa ni wa mtu mmoja tu. Click to expand... Hebu ukumbushie kidogo huo ufisadi mkuu,ni majuzi tu umeleta mzozo kwenye group.