Uncle Araali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 950
- 1,262
Kwahiyo unataka tuhalalishe wizi kwa sababu hiyo? Ujinga na ubinafsi umekutawala mkuu. Address the issue at hand.Yule mwingine enzi zake, hakutaka watu wahoji, akahamishia madudu yake kwenye akaunti zisizokaguliwa na akawa anaitwa Mzalendo!
Bongo ni nchi ya maajabu kabisa!