Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Bora ubaki bila kuoa Ila sio kuoa mwanamke mwenye mtoto.
wewe ni kama hawa watalaamu wetu wa afya, wajumlisha mtu usiu usile Chakula kizoto, bila kujali watu wote hawafanyi kazi kazi ofisi ya kiyoyozi, kiti cha mataili na wala hawapandi gari lisilo na kelele na kyoyozi juu.
Wanaofanya kazi za kutumia nguvu juani, eti usiku walw matunda tu walale, na wengine usiku ndiyo kwanza wanaenda kufanya kazi nguvu.

Wewe unataka watu wote waoe wanawake wasio zaa bila kutenganisha umri, yaani unadhani watu wote ni vijana kama wewe, hujui kuna umri kumpa asiye na mtoto ni shida.
 
😂 huku mitandaoni mnajifanya hamuwataki ila huko nje kutwa kuwanunulia watoto wao vijizawadi ili muwapate. Mimi binafsi sichagui chaka maana dini inasema tuwe na huruma kwa watoto wa kike.
🤣 Kuna ukweli hapa
 
Comment ya kipumbavu sana hii
 
Hao mnaowazalisha mnataka waolewe na nani? Wapeni heshima zao bana. Mlivyoshindwana nao nyie sio kila mwanaume duniani atashindwana nao. Wamewazalia watoto, ni baraka. Msiwafanye wawe wamelaaniwa kwa kuzaa na nyie.
Wengi mnaoongea hivi mmezalisha wanawake kibao. Kuweni na upeo wa kiutu uzima basi. Nyie kama wazazi vaeni viatu vya wanawake mliowazalisha kabla hamjaanza kuongea upuuzi huu.
 
Wajinga sana, mabinti wabichi wapo ila mtu anangangania wapigania uhuru tena aliyezalishwa
Si nlikwambia hua unaponda ma single mothers.

Wapeni break...wengine wamachwa..wengine wamefiwa.

Everyone deserves love...everyone deserves a second chance.
 
Mke Wa kwanza tafuta mke mbichi Wa pili na kuendelea unaweza kuchukua singo Mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…