Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Sasa kama yeye kazalisha nje na hajawaoa nani anaoa hao? Nayeye lazima apate aliyezalishwa akaachwa, Mungu lazima akupe wakufafana naye, huwezi pata malaika ikiwa wewe ni shetani lazima Mungu akulengeshe hapo hapo ili mgawane stress
 
Halafu unakuta wewe mwenyewe umelelewa na baba sio wako, hata sura ya baba yako mzazi huijui maskini..!!
Nyie ndio mnaokuja kupewa watoto sio wenu kwa ulimbukeni wenu
 
Kama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
Ukute hata yeye mtoto wa single mother, kuna kijana alikuwa ataoa model sasa alichompa Mungu kichwa changu ndiyo titi lake moja, halafu akiuzwa anacheka utasikia huyo hapo [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Watoto ni wengi sana mitandaoni, wanafikiri maisha ni kama hesabu kwamba moja na moja jibu ni mbili.
Wanajua mke nikama vile kwenda sokoni kuchagua embe, tena wanapata wenza wabofu mpaka unajiuliza ha ha ha ha
 
Kuna kitu kizito kimekupiga Utosini?
 
Una ushauri wa kipumbavu! Kwa nini uwe halali kwa mwanaume na iwe haramu kwa mwanamke? Utakuwa linyanyasaji wewe lione kwanza!
 
Kama anakuheshimu, anakujali na kukupenda kweli, si vibaya..huwezi kuwa jumuisha single mothers wote kwa kauli moja, bali wapo wenye haiba zao nzuri tu na wanajiheshimu, isipokuwa walikutana na Wanaume wasio na malengo ya muda mrefu na wao..
Always there is mistake Women do wakati wanakutana na hao waliowaacha. There is always a Red Flag ambayo wana ignore kwa maslahi yao.

Then baadae wanakuja kutulaumu sisi tunaopiga Vita Single Moms.
 
Ila tu usizalishe wadogo zetu alafu uwatelekeze nakwambiaje utawaoa wotree na mahali utatoa.
 
Hahaaa..... Da vinci anataka wana demokrasia
 
Wakati mwingine wanawake wanasingiziwa kutokuzaa kumbe tatizo lipo Kwa mwanaume nikwasababu yeye habebi mimba, hujiulizi kwanini wengi wao wanabebeshwa watoto si wao jiulize wakati mke anatafuta mimba yeye alikuwa wapi, mke huamua Kutoka nje huenda shida ipo upande wapili, mwambie kupima [emoji1][emoji1] hawataki hata kulisikia
 
Technically nakuelewa sana.

Unatoa funzo kwa kuumia Lugha Ngumu ili wasichana wawe makini waache kuzaa zaa hovyo.

Mwanzo wanasema nitalea tu mwenyewe. Lakini kweli wanapata shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…