Murtaugh Warshawski
Member
- Apr 9, 2023
- 97
- 201
Sema hata mimi kuna siku nusu nililabue lisingo maza lilikua lizuri mno na shape juuπ huku mitandaoni mnajifanya hamuwataki ila huko nje kutwa kuwanunulia watoto wao vijizawadi ili muwapate. Mimi binafsi sichagui chaka maana dini inasema tuwe na huruma kwa watoto wa kike.
Wewe Tayari katoto?. Jirani nauzee wangu wote huu Sina mtoto eti, nataka mpaka nioe aisee.Tayari nini jirani?? πππ
Basi na sisi tusiozaa hatuwataki mliozaa, mbaki na wazazi wenzenu
Mkapa ana watoto wawili mkuu wa kuzaaFatilia watu wote wakubwa na waliofanikiwa ndoa zao
Except Mkapa tu na yeye ni vile hakuwa na mbegu
Ila the rest walioa fresh girl wabichi kabisa.
Ni utoto sana kuingia kwenye ndoa na demu kashafumuliwa malinda yote hana duh so sad!!!
Umri wako tafadhali, unaweza jikuta una argue na mnuka maziwaMwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
watu kwa kukazia hamjambo. mlimshikia miguu?Mkapa ana watoto wawili mkuu wa kuzaa
Haya ni mawazo ya waliozaliwa nje ya ndoaMwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?
Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?
Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?
Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto
Labda kama unapasha tu !!!
Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!
Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!
Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Mwenzio jirani napapenda kweli bonyokwa huko Kigamboni kwa washuhani sipawezi πππWewe Tayari katoto?. Jirani nauzee wangu wote huu Sina mtoto eti, nataka mpaka nioe aisee.
Kama huna mtoto jirani, karibu tuhamie Kigamboni tutoke Bonyokwa. π π π π
Njoo Pm nipo bonyokwaMwenzio jirani napapenda kweli bonyokwa huko Kigamboni kwa washuhani sipawezi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ww mwenyekiti wa mtaa?
Nimecheka sana jirani, umenivunja mbavu.π πKwani ww mwenyekiti wa mtaa?
ππππ kuna watu wanazingua sana jiraniNimecheka sana jirani, umenivunja mbavu.π π
Unajua jiran mie mwenyewe bonyokwa napapenda sana, lkn majukumu yananihamisha.πMwenzio jirani napapenda kweli bonyokwa huko Kigamboni kwa washuhani sipawezi πππ
Yupo Bonyokwa nenda PM muyajenge. Daah halafu unaweza Kuta yupo siriously π π πππππ kuna watu wanazingua sana jirani
Hongera jirani mi nishazoea kula miguu ya kuku huko kwa wazito sipawezi nyanya moja buku ππππUnajua jiran mie mwenyewe bonyokwa napapenda sana, lkn majukumu yananihamisha.π
ππππ Serious JFYupo Bonyokwa nenda PM muyajenge. Daah halafu unaweza Kuta yupo siriously π π π
Nimepata kibarua chakuuza nyanya huko, Sasa gari za Bonyokwa kigamboni hamna, kwahio inabid nihamie huko. Kwani jirani vyumba vya elfu 30 Kigambon havipo?.πHongera jirani mi nishazoea kula miguu ya kuku huko kwa wazito sipawezi nyanya moja buku ππππ
Comment ya kipumbavu sana hii
Dua la kuluKiongozi Kama umeoa basi Mungu akutangulie sana ila kama bado amini amini nakuambia utanasa kwa single mom.