Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Hivi unaanzaje kuoa mwanamke aliyezaa?

Kwa nilivyokuelewa aliyemzalisha single mama ni pepo. Haya mapepo kujeni huku!
 
Wee chalii ngoja kwanza Kuna demu wa Jf namfukuzia umeanzisha mada ili ni comment anione katili alafu anikatalie

Nimeshtuka safari hii nitaenda na gia ya kujidai na roho nzuri
 
Hili suala nimeanza kulizingatia Kwa kweli. Maana nishakutana na watatu wote hawawezi kuzaa maana fibroids zimewamaliza hivyo Sasa nawafikiria singo Maza Kwa ukaribu sana [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Ni Fibroids au wamemaliza mayai Kwa kuzitoa Hizo mimba Ili waolewe fresh?
 
Fibroids maana wengi unakuta wanahangaikq kutafuta tiba. Time is coming single mother watakuwa kwenye chati we ngoja. Maana haya matumizi ya p2 yameshafika Kasi sana.😂😂😂
 
MADA ZA HIVI HAZIISHI NA HAZITAKAA ZIKAISHA.
NA HAPA NDIPO UTAJUA KAMA HUJUI HAKUNA USAWA WA KIJINSIA.
MWANAUME NI MBEGU
MWANAMKE NI SHAMBA

SASA KUOA MWENYE WATOTO, NI KWENDA KUPANDA MBEGU ALIPO PANDA MWENZIO.
HAPO TAYARI KUNA MGOGORO WA ASILI, NA HAUNA DAWA

DADA YANGU ALIZAA AKIWA CHUO, AKAMALIZA NA AKAOLEWA.
MAWASILIANO NA YULE MWANAUME WA MWANZO BADO YAPO.
BIBI, MASHANGAZI WA UPANDE ULE WA MWANAUME WANAPENDA KUASILIANA NA DAMU YAO, KIASI MAWASILAINAO KATI YA HAWA WAZAZI WAWILI HAYAKATIKI.
NA HII INAMSUMBUA SANA MUME ALIYENAYE, NILISHUHUDIA SIKU YA GRADUATION YA MTOTO. BABA MAZAZI YUPO NA BABA WA KUFIKIA YUPO
 
Me nashangaa venye swala dogo Kama hili linakuwa mjadala
Ilipasa tujadili legality ya mwanamke asiye bikra kuolewa
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Nakazia
 
Mkuu ndoa sio kama kanuni kuwa 1+1=2 wangapi wameoa tena wanawake bikra lakini ndoa zimevunjika kisa wanawake kuwa mapepe!! Na wangapi wameoa wanawake wenye watoto lakini ndoa zikadumu?!! Hayo ni maneno ya vijiweni
 
Kiongozi Kama umeoa basi Mungu akutangulie sana ila kama bado amini amini nakuambia utanasa kwa single mom.
Aisee umenikumbusha mbali kuna jamaa angu alipata changamoto kwenye ndoa yake alikuwa anasema siwezi oa mke kutoka chuo fulani (kilikuwa kina supply upendo kwa wanamkoa husika) Mungu si Athumani baada ya divorce ya kwanza leo hii anaishi na kazaa na dada kutoka hicho chuo full kumsifia ni wife material inshort kwenye maisha tuweke akiba ya maneno hata kama moyoni kuna rules zetu, huwa siwezi kumkumbusha maana ni brother ninayemuheshimu
 
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Ila ma single mother wana upendo balaa
Hv vitoto vya 2000 miyeyusho tu vina zingua balaa coz vinaamini bado vinahitaji kuchezewa kwanza
 
Tu
Mwanaume timamu hata kama una watoto 5 nje ya ndoa unaanzaje kuoa mwanamke mwenye mtoto?

Kwamba mwanamke aliyezaa hata ukilala naye siku moja unashindwa kujua kwamba kazaa?

Unadanganywa kwamba sijazaa unakubali?

Mwanaume usikubali kuanza maisha na mwanamke mwenye mtoto

Labda kama unapasha tu !!!

Hata kama una watoto kumi nje ya ndoa oa mwanamke ambaye hajazalishwa!!

Mwanamke aliyezaa nje ya ndoa ana pepo la aliyemzalisha utasikia unajua yule baba yake na mwanangu alikuwa ananifanyia hivi alikuwa vile upuuzi upuuzi tu..!!!

Siwezi kuoa mwanamke ambaye amezaa aende kwa mumewe aliyemzalisha mtoto wa kwanza.!!
Naoa tu hivyo hivyo hawana tofauti na ambao hawajazaa mkuu.
 
Back
Top Bottom