Lakini mbona kila siku utasikia mume hatoi matunzo… sijawahi sikia wanaume nao wakilalamikia wake zao kutotoa Matunzo… siku zote ni akina mama… hili limekaaje? Hata kutokufika kileleni, nalo ni mme… hii imejaaje?Ndoa ni kila mtu kujitahidi kadri ya uwezo wake kwa uwezo aliopewa na Mungu kuchangia maendeleo ya familia.
Kama mmoja anakunywa tu pombe January to December teamwork iko wapi?
Tulia mke wangu kuna mishe naskiliziaYani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
NakaziaHapo wewe ndio umemuoa kwahiyo mvumilie huyo 'mkeo'.
Upo sawa kabisa shem kuna kitu sio bure.Tukiachana na hilo Dr.
Mwelezee huyu mleta mada kuwa huyo mumewe ana tatizo mentally ili kama anaweza amsaidie before hajampoteza.
Hivi jamii yetu ikiona mtu yuko kwenye excessive alcohol kwanini huwa tunachukulia kawaida? Si kawaida, most of this people wana suffer na depression 😭
Na ile Sera yenu ya 50/50 inatumikaje sasa hapo?Mi ninachojua kazi kubwa ya mwanaume ni kumpenda mkewe na kuhudumia ndio vitu pia vinavyoonesha upendo au kuna namna nyingine mimi sijui unielekeze?
AstaghfirullahUlifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?
Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Sijawahi kuishi kwa usawa nyumbani kwangu,mimi ni mama nyumbani kwanguKusudi la movement ya usawa ni nini ?
Yale yale tunayoongea humu, female dual mating strategy, alpha fucks, beta bucksUlifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?
Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Sina hakika kama umeelewa kilicho ulizwa.Sijawahi kuishi kwa usawa nyumbani kwangu,mimi ni mama nyumbani kwangu
Hisia tunazo tena kede kede; unaachaje kumpenda mume wako anayekutimizia yanayoonekana na yasiyoonekana?Yale yale tunayoongea humu, female dual mating strategy, alpha fucks, beta bucks
Inauma sana, unaoa mwanamke ukidhani anakupenda kumbe hana hisia na wewe, ni kwamba kakukubalia sababu tu chaguo lake halieleweki, so ameona wewe ndo second option ya kumalizia nae uzee 😭
Natafuta Ajira Zemanda Extrovert Equation x
Zurie kumbe unachepukaaaaaa...!!!!Ulifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?
Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!
Ngalikihinja usinichafue! Nimeongea tu generally as women tunavyofanya😂Zurie kumbe unachepukaaaaaa...!!!!
Mi sijakuchafua banaaa...!!!! Nimeyatoa hayo kwenye toka coment yako banaa..!! Labda kama umejichafua mwenyewe.Ngalikihinja usinichafue! Nimeongea tu generally as women tunavyofanya😂
Mnaposema haki sawa ni hiviYani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Hadi ephen kakucheka, kupenda ninayoongelea mimi ni ile raw sexual desire, huyo mume anaekutimizia mahitaji yako huenda unampenda kama rafiki au ile sababu umemzoea, ila ukimuona papuchi hailoi ZurieHisia tunazo tena kede kede; unaachaje kumpenda mume wako anayekutimizia yanayoonekana na yasiyoonekana?
Kwani nani kasema huwezi kupenda zaidi ya mtu mmoja?
Huyo ni pambo lako mkuu,komaa naeYani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.
Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Kuna watu kwente uchumba wana act vizuri sana ila ingia nae kwenye ndoa sasa uhalisia wake utajutaUlifungaje ndoa na wa hivi na wewe? Hata mahari aliweza kumudu?
Wenzio wa hivi tunawafanya mchepuko wa kudumu kama kweli tunampenda na shughuli anaiweza. Tunaolewa na family man, responsible man, baba mjengo, baba mwenye nyumba!