Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.

Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Tengua kauli kwanza hafanyi lolote tukikuuliza hakuzagamui utatujibuje? Hii ndio kazi ya kwanza ya mwanaume kuhakikisha unazagamliwa daily.

Tukija kwenye uhalisia ninyi si ndo mmeomba haki sawa 50-50? Una lalamika Nini Sasa?

Mwanaume halisi anayejitambua anajua majukumu yake kama Mme ila ninyi muda mwingine mnazingua wenyewe kupandisha mabega!
 
Inaweza ikawa ni sawa lkn sio sawa pia kwasababu hata iyo 50 ya mwanamke bado anaipambania majukumu anayafanya yote kama mwanamke mi naona ni akili tu bweteka kwasababu uhakika wa kuishi upo
Kuna wanawake wengi sasa hivi wamewakalia waume zao vichwani, wanataka full control ya kila jambo kwenye familia, mume hana nafasi kama baba ila mke ndiyo final say, matokeo yake wanaume wanapata frustration wanaamua kutafuta faraja ya pombe
 
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.

Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia kusolve tu matatizo yake.

Je, kama wewe mwanamke unaweza kumvumilia? Wanaume mnalionaje hili na mnakaa nae kwenye vikao vya wanaume?
Shemeji mvumioie mwamba akipata kazi atakutunza mpaka ushangae. Wanaume wa aina hii wakipata kazi wanakuwa makini sana kwenye utunzaji wa .familia zao.
 
Back
Top Bottom